Sie suchten nach: uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga ... (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

Englisch

improvement of the permanent voters register

Letzte Aktualisierung: 2020-03-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

daftari la wapiga kura

Englisch

cash register

Letzte Aktualisierung: 2019-05-30
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

uchaguzi wa zimbabwe (@zimelections) umeonyesha ukubwa wa tatizo la wapiga kura mfu:

Englisch

zim elections (@zimelections) showed the seriousness of dead voters' problem:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

"wanakiri kuwa kuwa watu milioni mbili waliokufa katika daftari la wapiga kura, lakini 'kwa sababu wamekufa, hawawezi kupiga kura'."

Englisch

"they admit there's 2m people who are dead on the voters' roll, but 'because they're dead, they can't vote'."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

rakim allah (@ldaviano) alitoa maoni kwenye suala hilo hilo la "wapiga kura wafu":

Englisch

rakim allah (@ldaviano) commented on the same issue of “dead voters”:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

uchaguzi mkubwa zaidi duniani uko mbioni nchini india na mwanablogu anuradha shankar kwenye blogu yake ya "a wandering mind" anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa matumizi.

Englisch

the world's largest elections are underway in india and blogger anuradha shankar at "a wandering mind" blog points to the practical challenges of keeping the huge electoral list of the country updated for ready use.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

mwandishi wa afrika kusini na mshauri wa matangazo thebe ikafaleng (@thebeikafaleng) alimnukuu tendai biti, katibu mkuu wa mdc, aliwakejeli wale waliokuwa wakihoji uwepo wa watu milioni mbili waliokwisha kufa katika daftari la wapiga kura haukuathiri upinzani:

Englisch

south african author and brand advisor thebe ikafaleng (@thebeikafaleng) quoted tendai biti, the secretary general for mdc, making fun of those arguing that the presence of two million dead people on the voters' roll did not cost the opposition:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

chama cha rdp na vyama vingine vya upinzani viliitisha mkutano na waandishi wa habari mchana wa jumamosi vikidai uwepo wa mlolongo wa kasoro zikijumuisha wino usifutika ambao haukufanya kazi, karatasi za kupigia kura ambazo hazikuwa na muhuri rasmi, na daftari la wapiga kura linalobadilika kila wakati (ambalo lina toleo jipya lenye tarakimu tofauti ya idadi ya wapigakura walioandikishwa).

Englisch

the rdp and several other opposition parties held a press conference on saturday afternoon alleging a string of irregularities including indelible ink that didn't work, ballot papers that did not have the official stamp, and the ever-changing voters register (of which there is a new version with yet another figure for the number of registered voters).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,740,101,709 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK