Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
kutoka ng’ambo ya ufukwe wa chowpatty, mumbai kutazama eneo moja wapo ghali zaidi duniani.
looking out across the bay from chowpatty beach, mumbai at some of the most expensive land in the world.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
sherehe ya ajentina kwenye ufukwe wa copacabana kupitia @jornaloglobo http://t.co/vbenefeqpb
the argentina party at the copacabana via @jornaloglobo http://t.co/vbenefeqpb
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
maeneo mengi maarufu ya ajentina yaligeuzwa kuwa maeneo ya sherehe, na katika hali ya kushangaza, wa-ajentina waliokuwa kwenye ufukwe wa copacabana nchini brazili walisherehekea pia:
the most iconic locations in argentina were transformed into party venues and, unsurprisingly, the argentines at brazil's copacabana beach also celebrated:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
dr. atuguba katika mahojiano yake kwenye kipindi cha citi breakfast jumatano alisema kiini cha maslahi ya wanajeshi hao nchini ghana ni kuwafundisha kuwa walinzi wa maslahi yao wananchi wa mkoa wa magharibi wa ghana, ambako kwenye ufukwe wake, nchi itakuwa ikichimba mafuta.
dr. atuguba in an interview on the citi breakfast show on wednesday said the essence of militants' interest in ghana is to mentor folks in the western region of ghana, on whose offshore, the country will be drilling oil to be protective of their interest.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.
"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung