Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
ukosefu wa kinga mwilini
hiv and aids
Letzte Aktualisierung: 2020-09-07
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
vipi kuhusu ukosefu wa ajira?
what about unemployment?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
tukawaadhibu wale walio fanya ukosefu.
the messengers showed them clear miracles and we took revenge on the criminals.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
tofauti za mitazamo na ukosefu wa uwazi
differences in viewpoint and lack of clarity
Letzte Aktualisierung: 2021-10-26
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
chile: tetemeko la ardhi lafichua ukosefu wa usawa katika jamii
chile: earthquake reveals social inequalities · global voices
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kuongezeka kwa matatizo ni ukosefu wa uratibu miongoni mwa mashirika ya serikali:
exacerbating the problem is the lack of coordination among government agencies:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
tukawaadhibu wale walio fanya ukosefu. na ilikuwa ni haki juu yetu kuwanusuru waumini.
then we took vengeance upon those who were guilty, and it was a must for us to help the faithful.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
palestina: maandamano yalipuka kupinga ongezeko la bei za bidhaa na ukosefu wa ajira
palestine: protests erupt against high prices and unemployment · global voices
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
ukosefu wa madaktari katika maeneo ya mbali kijijini umewafanya watu wetu kuwa katika hali ngumu.
the lack of doctors in remote and outlying areas have left our people in a difficult situation.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
imesababisha pia ukosefu wa vifaa za kujikinga kibinafsi duniani, na who kuonya kuwa hii itahatarisha wafanyakazi wa afya.
it has also caused a shortage of personal protective equipment worldwide, with the who warning that this will endanger health workers.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kikundi hicho ilisisitiza kuwa ukosefu wa rasilimali au bima ya afya haipaswi kuwa sababu ya ubaguzi dhidi ya kikundi maalum.
the group stressed that the lack of resources or health insurance should never serve as a justification for discrimination against a specific group.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
badala yake, zinaweza kusababisha athari mbaya, hasa ukosefu wa damu kwenye mifupa uliathiri pakubwa kutambuliwa kwa ugonjwa.
instead, they may cause severe side effects, especially avascular osteonecrosis, dramatically affecting the prognosis.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
sina ubaya ila tu ukosefu wa kazi, nimetembea kwa manyumba nikitafuta kazi bali sifanikiwi, nimeona nijiseme kwa maana kunyamaza na shinda si vizuri
i have no badness but unemployment, i have walked around to search for a job but not to, i have seen to say because it's not good to keep quiet
Letzte Aktualisierung: 2018-05-29
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
anahitaji mtu kumtetea kwa namna alivyowatetea wasichana wa kimisri wakati waongo walipodai kwamba wanasubiri kudanganya kuhusu ubikra wao ili kufunika ukosefu wao wa kimaadili.
she needs someone to defend her the way she defended egyptian girls when imposters claimed that they are waiting for the fake hymen to cover up for their immorality.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa kuongeza, mji mkuu wa antananrivo na majiji mengine yamekuwa yakikabiliwa na ukosefu wa maji na nishati ya umeme mambo yaliyochochea vurugu na ghadhabu miongoni mwa raia wa malagasi.
additionally, the capital city antananarivo and other cities are currently experiencing frequent running water and power outages that have provoked frustration and outrage among malagasy citizens.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
badala ya kupambana na ukosefu wa ajira sisi tunapambana na mfumuko wa bei ubaki kuwa tarakimu moja; wakati huo huo wananchi wanaoishi kwenye mabwawa ya lukanga wanaishi kwa nge.
instead of fighting unemployment we are focusing on single-digit inflation; meanwhile citizens in the lukanga swamps are surviving on scorpions.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
je, hii haionyeshi – hata kwa kiwango cha chini kabisa – ukosefu wa busara katika maamuzi kwa upande wa rais wetu wa zamani?
does it not show- at the very least – a spectacular lack of judgment on the part of our former president?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
hata hivyo, ukosefu wa maji yanayotegemeka, vifaa vya kuosha mikono au sabuni katika nyumba za watu, shuleni na maeneo ya kazi ni changamoto katika kutimiza tabia ya ulimwengu ya kuosha mikono.
however, a lack of reliable water supply, soap or hand washing facilities in people's homes, at schools and at the workplace make it a challenge to achieve universal hand washing behaviors.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
angalau wanafunzi 520,000 na familia zao wanaweza kuathirika na ukosefu wa chakula cha kutosha kutokana na kufungwa kwa shule.mipango ya chakula shuleni ni mpango wa pili kwa ukubwa baada ya ule wa msaada wa chakula katika kupambana na njaa nchini marekani.
at least 520,000 students and their families may be affected by food insecurity as a result of school closures.school lunch programmes are the second-biggest anti-hunger initiative in the united states after food stamps.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
vijana wa kike na wanawake wenye umri mdogo walibainisha kwamba vijana hupata huduma duni ( kwa mfano, ukosefu wa usiri, mtazamoa wa kuhukumu) kutoka kwa baadhi ya watoa huduma
: agyw, hcps, and policymakers reported that the current health care system could impede prep delivery and uptake. agyw and hcps noted that adolescents receive poor quality care (e.g., lack of confidentiality, judgmental attitudes) by some providers.
Letzte Aktualisierung: 2018-03-08
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: