Sie suchten nach: unaofanya (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

unaofanya

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mfumo wa vizingiti na mizani unaofanya kazi sawa pamoja na miundo fanisi ya utanganishaji wa madaraka ni masuala kadhaa ambayo yanahitaji kutazamwa kwa makini na tume hii.

Englisch

functional checks and balances as well as workable forms of separation of powers were other issues that needed serious consideration by the commission.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

paul nsapu, katibu mkuu wa muungano wa kimataifa wa haki za binadamu barani afrika unaofanya kazi zake kinshasa, anashangazwa na hatua kali zilizochukuliwa na serikali:

Englisch

paul nsapu, secretary general for africa of the international federation for human rights in kinshasa, is appalled by the excessive measures taken by the government:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hata hivyo hana taarifa za wanafamilia wengine...hasa ukizingatia kwamba hakuna mfumo wa usafiri unaofanya kazi, kila mmoja anatembea kwa miguu, kwa hiyo kuna taabu kweli ya kuwasiliana.

Englisch

she has no news about the rest of the family though...given that no transport is functioning everybody is on foot, so its really difficult to communicate.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lengo la mradi ni kuwezesha kutengenezwa kwa mtandao unaofanya kazi wenye wanachama wenye ujuzi ili kusababisha mabadiliko ya mitazamo na mienendo ya kimila, ikiwa ni pamoja na sera na mbinu za kupambana na kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia (lengo ni) kutengeneza wataalam muhimu 50 wa ngazi za chini na kuwajengea uwezo wa mbinu za kuhakikisha jinsia inazingatiwa wakati wa kuanzisha miradi na program kila mwaka, na asasi zisizo za kiserikali kufikia malengo yake kwa kuwahamasisha waratibu wake kuwezesha matumizi sahihi ya mbinu (kujifunza zana na kutambua maeneo ili kutambua hatua zinazotakikana za kijinsia).

Englisch

the aim of the project is to enable the creation of a functional network with competent members in order to influence traditional attitudes/practices, as well as local policies and strategies which fight against gender inequalities (the objective is to) create 50 local key players with strategies to ensure gender is taken into account when launching projects and programs each year, and for the ngo to get closer to its targets by organising supervisors to facilitate the effective application of the approach (learning the tools and identifying pertinent gender actions).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,740,157,272 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK