Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
lakini unawezaje kutofautisha picha za ngono na zile za sanaa?
but how do you differentiate pornographic or vulgar images from artistic ones?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
unawezaje kujua kuwa watu uliokutana nao mitaani leo kuwa wamevaa nguo za ndani?
how do you know that the very people you met on the street today actually have their underwears on?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
unawezaje kuwa “mkosaji mkuu” katika uchaguzi kwa kule tu kupiga kura yako?
how you can be the "biggest loser" in an election just for voting?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
unawezaje kuunga mkono kampeni hiyo ya cpj ya #righttoreport kwenye enzi za dijitali?
how can you support cpj’s #righttoreport in the digital age campaign?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
unawezaje kukiona kibanzi kilicho katika jicho la mwenzio, usione boriti iliyo katika jicho lako mwenyewe?
and why beholdest thou the mote that is in thy brother's eye, but perceivest not the beam that is in thine own eye?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wao wakamjibu, "wewe ulizaliwa na kulelewa katika dhambi; unawezaje kutufundisha sisi?" basi, wakamfukuzia mbali.
they answered and said unto him, thou wast altogether born in sins, and dost thou teach us? and they cast him out.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
wewe mama mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? au wewe mume mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
for what knowest thou, o wife, whether thou shalt save thy husband? or how knowest thou, o man, whether thou shalt save thy wife?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
elimu katika karne ya 21 yahitaji kushughulikia masuala ambayo hayakuwa bayana siku za nyuma, kama vile wapi unapotaka kuishi au kufanya kazi, kwa kutumia lugha gani au kwa utamaduni upi unaweza kujisikia vyema, unawezaje kujenga maisha yako ya kazi mara kadhaa,...
the 21st century educations demands posing again some issues that were not evident in the past, as where do you want to live or work, with what languages or with what cultures you'l be more comfortable of related, how will you professionally rebuild your working life several times,...
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, paulo akamwambia, "mungu mwenyewe atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta uliopakwa chokaa! unawezaje kukaa hapo ili unihukumu kisheria na huku wewe mwenyewe unaivunja sheria kwa kuamuru nipigwe?"
then said paul unto him, god shall smite thee, thou whited wall: for sittest thou to judge me after the law, and commandest me to be smitten contrary to the law?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung