Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
ushoga hauwezi kuwa kosa!
homosexuality cannot be an offense!
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ushoga ni dhambi, si uhalifu.
homosexuality is a sin, not a crime.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uganda: rais kuzuia muswada unaopinga ushoga
uganda: president says he will block anti-gay bill · global voices
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uganda: muswada wa kupinga ushoga ambao hautazimwa
uganda: the anti-gay bill that won't go away
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
muswada unasema kwamba madhara ya ushoga ni pamoja na:
it states the ill effects of homosexuality as:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
msimamo wa serikali dhidi ya ushoga bado unasimama, anasema waziri
government’s anti-gay stand stays, says minister
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
hong kong: video dhidi ya uzomeaji shuleni unaofanywa na watu wanaochukia ushoga
hong kong: videos against homophobic bullying in schools
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uganda imeuwasilisha mezani kwa mara nyingine tena muswada wenye utata unaopinga ushoga.
uganda has again re-tabled the controversial anti-gay bill.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mhe. katibu mkuu, tunajua unatutaka tufuate mataifa mengine kwa kutokuchukulia ushoga kuwa jinai.
mr sg, we know you want us to follow other nations by not criminalising homosexuality.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kulipuka kwa ushabiki huu wa hofu ya ushoga ni ushahidi wa unafiki unaotawala maisha ya siasa ya afrika.
this outbreak of frenzied homophobia is the epitome of the hypocrisy that pervades political life in africa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
makanisa na familia zetu lazima yafanye bidii kuhakikisha kuwa vijana hawajitumbukizi kwenye ushoga na tabia nyingine chafu.
our churches and families should work hard to ensure young people stay away from homosexuality and other negative stuff.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika hotuba yake, alilaani ushoga, akiuita "tishio kuu la kuwepo kwa binadamu".
during his speech, he condemned homosexuality, calling it one of the "biggest threats to human existence".
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
muswada wa kupinga ushoga nchini uganda umepelekwa bungeni na sasa unamsubiri rais yoweri museveni kutia saini ili kuufanya ushoga kuwa ni kinyume na sheria.
the ugandan anti gay bill has been tabled in parliament and now it awaits the president yoweri museveni to sign and make homosexuality officially illegal.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
huwezi kuuthibitisha ‘ushoga’ kwenye mahakama ya kisheria kwa viwango vya ushahidi vinavyotakiwa kwenye mahakama ya jinai.
you cannot prove 'homosexuality' in a court of law to the standard of proof that is required in a criminal court.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wakati mjadala kuhusu ushoga ukishika kasi barani afrika, liberia na uganda vimetunga muswada wa kupinga ushoga hivi karibuni ili kuufanya ushoga uhukumiwe kwa adhabu ya kifo.
while debate over homosexuality rages in africa, liberia and uganda introduced anti-gay bills recently making homosexuality liable to a death sentence.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
utafiti unaonyesha kwamba ushoga una madhara mabaya yafuatayo pamoja na uwezekano wa matumizi zaidi ya nguvu, magonjwa ya zinaa, na matumizi ya madawa ya kulevya.
research indicates that the homosexuality has a variety of negative consequences including higher incidences of violence, sexually transmitted diseases, and use of drugs.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
… je hili nalo ni jibu la fumbo kwa kiongozi wa upinzani, kizza besigye, ambaye miezi minne iliyopita aliahidi kuhalalisha ushoga ikiwa atachaguliwa?
...might this also be a subliminal response to the leader of the opposition, kizza besigye, for pledging four months ago to decriminalize homosexuality if elected?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
imetaarifiwa kuwa rais museveni amehakikishia mamlaka ya marekani kuwa atapiga turufu muswada uliopendekezwa na mbuge wa ndorwa david bahati dhidi ya ushoga, msimamo ambao unavunja msimamo wake wa hivi karibuni na matamko ya maofisa walio katika serikali yake.
president museveni has reportedly assured american authorities that he will veto ndorwa west mp david bahati’s proposed anti-gay law, a position that breaks with his recent stance and the statements of officials in his government.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika tamko lililotolewa jana, waziri wa mambo ya nje sam kutesa alisema serikali haiungi mkono utetezi wa ushoga “sawa tu na vile tusivyoweza kutetea biashara ya ngono.”
in a statement issued yesterday, foreign affairs minister sam kutesa said the government does not support the promotion of homosexuality “just like we cannot promote prostitution.”
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
matamshi hayo yalirejesha upya mjadala wa suala la ushoga ambalo ndilo lililokaribia kabisa kukifanya chama tawala enzi hizo mmd kumwangamiza kisiasa kiongozi wa upinzani wakati huo, sasa rais wa nchi michael sata, wakati wa kampeni za kuelekea uchaguzi wa mwezi septemba ambao ulishuhudia akimbwaga rais wa zamani rupiah banda.
his statement brought back into focus the issue of homosexuality for which the then ruling mmd nearly destroyed the then opposition leader, now republican president michael sata, during the campaigns leading to last september’s elections which saw him beat former president rupiah banda.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: