Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
watu wasiporipoti visa hivi vidogovidogo vya ufisadi, watumikiaji wa umma wataendelea kutumia nyadhifa zao kujinufaisha.
as long as cases of ‘petty corruption’ continue to go unreported, public officials will continue to misuse their offices for private gain.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
msaada wa jack ma ya barakoa 100,000 kuelekea cuba ilizuiliwa na vikwazo vya marekani tarehe 3 aprili.
jack ma's donation of 100,000 masks to cuba was blocked by us sanctions on 3 april.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
pia inapendekezwa kwamba vikwazo vya marekani dhidi ya iran vinaweza kuathiri uwezo wa nchi hiyo wa kifedha kushughulikia mkurupuko wa virusi.
it is also suggested that u.s. sanctions on iran may be affecting the country's financial ability to respond to the viral outbreak.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baadhi ya wanablogu wa ki-rusi wanaonekana kuviangalia vikwazo dhaifu vya marekani kama dalili ya kuunga mkono kimyakimya matendo ya rais putin.
some russian bloggers seem to view weak american sanctions as a sign of us tacit support of president putin's actions.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
bado, baadhi ya wa-iran wanatarajia kuwa simu hiyo ilikuwa ni hatua nzuri katika kuimarisha mahusiano ambayo yangeweza kufanya vikwazo vya marekani viongozwe.
still, some iranians hope the call was a step towards thawing relations that could someday lead to us sanctions being lifted.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mbinu ya kuosha mikono kwa njia sahihi inayopendekezwa na vituo vya kuzuia na kudhibiti ugonjwa vya marekani kwa ajili ya kuzua kusambaa kwa ugonjwa ni pamoja na hatua zifuatazo:
correct handwashing technique recommended by the us centers for disease control for prevention of transmission of disease includes the following steps:
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aliwaji kuishi na kufanya kazi nchini uganda, afrika ya mashariki, ambapo wa kushirikiana na mtu mwingine aliandaa na kuongoza mfululizo wa makongamano kuhusu maendeleo baada ya vita kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vya marekani na afrika.
she previously lived and worked in uganda, where she co-developed and directed a series of conferences on post-conflict development for american and african college students.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mwezi wa machi 2020, serikali, tasnia, na vyuo vikuu vitatu vya marekani vilitoa rasilimali ya kufikia tarakilishikuu kutoka ibm, pamoja na rasilimali za kutoa huduma za kompyuta kutoka kwa hewlett packard enterprise, amazon, microsoft, na google.
in march 2020, the us government, industry, and three universities pooled resources to access supercomputers from ibm, combined with cloud computing resources from hewlett packard enterprise, amazon, microsoft, and google.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
rais wa irani hassan rouhani aliandika barua ya umma kwa viongozi wa dunia akiomba msaada tarehe 14 machi 2020, akisema kuwa nchi yake inajitahidi kukumbana na mkurupuko kwa sababu ya kutofikia soko za kimataifa kufuatia vikwazao vya marekani dhidi ya irani.mkurupuko imesababisha wito kwa marekani kuchukua sera za kijamii ambazo ni za kawaida katika nchi zingine zenye mali, ikiwemo huduma za afya kwa umma, utunzaji wa umma ya watoto, likizo iliyolipwa ya familia, na viwango vya juu ya ufadhili wa afya ya umma.
iran's president hassan rouhani wrote a public letter to world leaders asking for help on 14 march 2020, saying that his country is struggling to fight the outbreak due to lack of access to international markets as a result of the united states sanctions against iran.the outbreak has prompted calls for the united states to adopt social policies common in other wealthy countries, including universal health care, universal child care, paid family leave, and higher levels of funding for public health.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.