Sie suchten nach: vitambulisho, vitambulisho (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

vitambulisho, vitambulisho

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

teknolojia za uchunguzi wa kidijitali zinajumuisha pogramu, data ya eneo na vitambulisho vya kielekroniki.

Englisch

the digital surveillance technologies include apps, location data and electronic tags.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

heffernan anasema kwamba ni vizuri zaidi wahudumu wa afya kuvaa picha hizo kuliko kuvaa vitambulisho vyenye majina yao.

Englisch

heffernan says that it’s better than just having health workers wear name tags.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa mtazamo wangu wa dhati na uzoefu wangu wa kufanya kazi na mamlaka ya vitambulisho ya taifa inayoandikisha watu ili kutengeneza taarifa za waghana wote, ninaunga mkono ushauri wa kamishna wa tume ya uchaguzi katika mada hii.

Englisch

in my candid opinion and experience working with the national identification authority currently registering masses for the creating of a database of all ghanaians, i support the advice of the current electoral commissioner on this subject.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

bi. bakhshi anakumbuka kwamba kijana wake huyo amin alikamatwa tena mnamo oktoba 4 na watu wanne waliovamia nyumba yake bila kuonesha vitambulisho wala hati yoyote na kuchukua kompyuta za kijana huyo.

Englisch

ms. bakhshi recalled that her son amin was arrested again on 4 october by ten men who stormed into their home without showing identification or warrants and confiscated his personal computers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ingawa utekelezaji wa uandikishaji wapiga kura wa kwa njia za vipimo vya kibaiolojia unaoratibiwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa na upigaji kura wa mtandao ungeweza kutumika katika kipindi kirefu kijacho, mchakato huo haungeweza kuanza kutumika hivi karibuni”.

Englisch

even though the implementation of both the biometric voter registration which is been handled by the national identification authority and e-voting were practicable in the long term, they could not be introduced anytime soon”.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wanasemekana waliingia uwanjani humo kwa kutumia vitambulisho bandia vya wanausalama wa uwanja huo wa ndege wakiwa na , silaha kali na mabomu ya kutupa kwa mkono. wafanyakazi wa uwanja wa karachi wakisaidiwa kutoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa jinnah. picha ilitwitiwa na @dawn_com mtu mmoja alijitoa mhanga wakati wa shambulizi hilo.

Englisch

“we are looking into this and according to the families some seven people were trapped inside the cold storage and were in contact with the families on cell phone,” said abid qaimkhani, a spokesman for caa (civil aviation authority).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.

Eine bessere Übersetzung mit
7,790,992,976 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK