Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
so when this was done, others also, which had diseases in the island, came, and were healed:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
watu wengi walifika kutoka katika miji ya kando kando ya yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.
there came also a multitude out of the cities round about unto jerusalem, bringing sick folks, and them which were vexed with unclean spirits: and they were healed every one.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.
so that from his body were brought unto the sick handkerchiefs or aprons, and the diseases departed from them, and the evil spirits went out of them.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: