Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
wazazi wangu wameketi barazani
my parents are sitting on the porch
Letzte Aktualisierung: 2021-04-19
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
waandamanaji wakiwa wameketi nje ya ukumbi wa uchaguzi.
protesters sitting outside the election hall. image by flickr user inmediahk (cc by-nc).
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
maria magdalene na yule maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.
and there was mary magdalene, and the other mary, sitting over against the sepulchre.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
waandishi wa habari kutoka uingereza, ufaransa na japani nao pia wapo wameketi.
journalists from uk, france and japan sitting here too.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja petro akiwa miongoni mwao.
and when they had kindled a fire in the midst of the hall, and were set down together, peter sat down among them.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
akawaona malaika wawili waliovaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja kichwani na wa pili miguuni.
and seeth two angels in white sitting, the one at the head, and the other at the feet, where the body of jesus had lain.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
hii ni kwa sababu, ikiwa mtu mwingine kwenye ndege hiyo atapatikana kuwa ameambukizwa, mamlaka inaweza kuwafuatilia watu waliokuwa wameketi karibu naye ili kupimwa na kukarantini.
this is so that, if someone on the flight turns out to be infected, the authorities can track down the people who were sitting near them for testing or quarantine.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
picha hii iliyopakiwa katika ukurasa wa twita inawaonesha maelfu ya watu wa hazara wakiwa wameketi huku wakinyeshewa mvua huku kukiwa pia na miili ya watu waliopoteza maisha katika mauaji ya halaiki wakati wa milipuko ya quetta.
this image uploaded on twitter shows thousands of hazara sitting in the rain with the dead bodies of those massacred in the quetta bombings. @ammar_faheem : shia protesters stage sit in on quetta's alamdaar road along with bodies of those martyred in yesterday's blasts #shiagenocide
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
yesu akaitwaa ile mikate, akamshukuru mungu, akawagawia watu waliokuwa wameketi; akafanya vivyo hivyo na wale samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.
and jesus took the loaves; and when he had given thanks, he distributed to the disciples, and the disciples to them that were set down; and likewise of the fishes as much as they would.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa mujibu wa dkt. rajiv shah, mtawala katika usaid, mkutano huo wa mtandaoni utawaleta pamoja "watu ambao huwa wameketi mezani kama wafanya uamuzi".
according to dr. rajiv shah, adminsitrator of usaid, the online summit will gather "individuals who are not normally seated at the table with key decision makers".
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
basi, kulikuwa na vipofu wawili wameketi kando ya njia, na waliposikia kwamba yesu alikuwa anapitia hapo, walipaaza sauti: "mheshimiwa, mwana wa daudi, utuhurumie!"
and, behold, two blind men sitting by the way side, when they heard that jesus passed by, cried out, saying, have mercy on us, o lord, thou son of david.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung