Sie suchten nach: watafiti (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

watafiti

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kwanza, watafiti wanakusudia kuunda chanjo ya virusi vyote.

Englisch

first, researchers aim to build a whole virus vaccine.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

watafiti wa nasa kwenye mradi wa stardust - kwa matumizi ya umma

Englisch

nasa researchers on project stardust - public domain

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

watafiti wamepata kwamba abiria kwenye viti vya dirisha wana hatari ya chini ya kutangamana na watu wagonjwa.

Englisch

researchers have found that passengers in window seats have less risk of contact with sick people.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wengi wa wasomi na watafiti wamechunguza athari za shughuli za kiutamaduni ili kuelewa masuala ya kiujasiriamali katika afrika.

Englisch

numerous academics and researchers have examined the influence of cultural practices in order to understand the entrepreneurial adventure in africa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

henderson anakumbuka wimbo wa zamani kabisa una historia ndefu na kusema watafiti wamegundua nyimbo za aina hiyo kupitia fasihi za kale zinazofahamika.

Englisch

henderson reckons the oldest lullaby is from well before the common era and says researchers have found lullabies in the oldest-known literature.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ninawashauri watafiti waende mahakama kuu na mahakama ya familia na wafahamu fika matatizo ya familia na unyumba kwanza kabla ya kuanza kampeni hii.

Englisch

i would suggest the researchers go down to the high and family courts and understand the family and domestic problems thoroughly first before embarking on this campaign.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

Englisch

while some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. joseph edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the south sudan border.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

watafiti wa chuo cha imperial huko london walitangaza mnamo tarehe 20 machi 2020 kuwa wanakuza chanjo cha rna yenye nguvu zaidi kwa ajili ya covid-19.

Englisch

imperial college london researchers announced on 20 march 2020 that they are developing a self-amplifying rna vaccine for covid-19.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika februari 2020, watafiti wachina waligundua kuwa kuna tofauti moja tu ya asidi amino katika sehemu fulani ya utaratibu wa chembe kati ya virusi hivi kutoka kakakuona na vile kutoka binadamu.

Englisch

in february 2020, chinese researchers found that there is only one amino acid difference in certain parts of the genome sequences between the viruses from pangolins and those from humans.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

sitakuwa nimetenda haki kama sitataja kazi za watafiti wetu wa kike na watafiti wakosoaji ambao, hatuna budi kusema, wamejidhibitisha kuwa wachapa kazi hodari miongoni mwa wanachama wa timu yetu ya mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.

Englisch

i would be remiss to not highlight the work of our female researchers and research reviewers who, it must be said, have proven themselves to be the hardest working members of our team on the technology for transparency network.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baadhi ya mashirika wameunda programu ya ukusanyaji wa maelezo ya uchunguzi wa dalili, ambapo watu wanaweza kuripoti dalili zao ili kuwasaidia watafiti kualamisha maeneo yenye idadi kubwa ya dalili za covid-19.

Englisch

some organizations have created crowdsourced apps for syndromic surveillance, where people can report their symptoms to help researchers map areas with concentration of covid-19 symptoms.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

Englisch

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwezi agosti, watafiti wa chuo kikuu cha oxford walitangaza kwamba wataanza majaribio ya kinga kwa wa-ingereza waliojitolea kushiriki zoezi hilo wakishapata ruhusa ya kuzingatia maadili ya tafiti, na kisha zoezi hilo linatarajiwa kufanyika pia kwenye nchi za gambia na mali.

Englisch

in august, researchers at oxford university announced that they will begin a trial of a potential vaccine on healthy uk volunteers once ethical approval is granted, which will eventually extend to the gambia and mali.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baadhi ya watafiti wamependekeza kuwa soko la jumla la dagaa la huan linaweza kuwa sio chanzo cha kwanza cha maambukizo ya vrusi hivyo kwa wanadamu. hadi tarehe 17 aprili 2020, kumekuwa na angalau vifo 153,822 vilivyothibitishwa na zaidi ya visa 2,240,191 vilivyothibitishwa vya ugonjwa wa nimonia wa virusi vya korona.

Englisch

some researchers have suggested the huanan seafood wholesale market may not be the original source of viral transmission to humans.as of 17 april 2020, there have been at least 153,822 confirmed deaths and more than 2,240,191 confirmed cases in the coronavirus pneumonia pandemic.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,748,019,690 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK