Sie suchten nach: wewe ni mungu wa abraham, isaka na yakobo (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

wewe ni mungu wa abraham, isaka na yakobo

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

wewe ni mungu

Englisch

umm what?

Letzte Aktualisierung: 2022-02-08
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wewe ni mungu usiyelala

Englisch

usiye lala

Letzte Aktualisierung: 2021-10-22
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mimi ni mungu wa baba zako, mungu wa abrahamu, isaka na yakobo! mose akatetemeka kwa hofu na wala hakuthubutu kutazama zaidi.

Englisch

saying, i am the god of thy fathers, the god of abrham, and the god of isaac, and the god of jacob. then moses trembled, and durst not behold.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

bwana wewe ni mungu wangu na nitakusifu kamwe

Englisch

am with you says our lord god

Letzte Aktualisierung: 2023-04-11
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.

Englisch

by faith he sojourned in the land of promise, as in a strange country, dwelling in tabernacles with isaac and jacob, the heirs with him of the same promise:

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mungu wa abrahamu, isaka na yakobo, mungu wa baba zetu amemtukuza yesu mtumishi wake. yeye ndiye yuleyule mliyemtia mikononi mwa wakuu na kumkataa mbele ya pilato hata baada ya pilato kuamua kumwacha huru.

Englisch

the god of abraham, and of isaac, and of jacob, the god of our fathers, hath glorified his son jesus; whom ye delivered up, and denied him in the presence of pilate, when he was determined to let him go.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

basi, yeye si mungu wa wafu, bali ni mungu wa walio hai. ninyi mmekosea sana!"

Englisch

he is not the god of the dead, but the god of the living: ye therefore do greatly err.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka wafu, hata mose alithibitisha jambo hilo katika maandiko matakatifu. katika sehemu ya maandiko matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto, anamtaja bwana kama mungu wa abrahamu, isaka na yakobo.

Englisch

now that the dead are raised, even moses shewed at the bush, when he calleth the lord the god of abraham, and the god of isaac, and the god of jacob.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

basi, nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na abrahamu, isaka na yakobo katika ufalme wa mbinguni.

Englisch

and i say unto you, that many shall come from the east and west, and shall sit down with abraham, and isaac, and jacob, in the kingdom of heaven.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

ndipo mtakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona abrahamu, isaka na yakobo, na manabii wote wapo katika ufalme wa mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!

Englisch

there shall be weeping and gnashing of teeth, when ye shall see abraham, and isaac, and jacob, and all the prophets, in the kingdom of god, and you yourselves thrust out.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

taazama wewe ni bwana aa, mungu wa wote wenye mwiliii jee kuna neno gumu lolote usilo liweza? taazama…. (taazama wewe ni bwana aa, mungu wa wote wenye mwiliii jee kuna neno gumu lolote usilo liweza?)x2 jee kuna neno….. (jee kuna neno kuna neno kuna neno usilo liweeza? jee kuna neno gumu lolote usilo liweeza?)x2

Englisch

behold, thou art the lord, the god of all flesh: is there any hard word that thou canst not? behold…. (see you are the lord shining, the god of all fleshii jee is there any hard word you do not know?)x2 is there a word… (is there a word there is a word you do not know? is there a word there is a hard word you do not know?) x2 nb: the arranger can add his own words as he is touched and repeat the song several times as well depending on how he is touched

Letzte Aktualisierung: 2022-11-22
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,788,078,867 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK