Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
yesu kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.
jesus christ the same yesterday, and to day, and for ever.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ni onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
which in time past was to thee unprofitable, but now profitable to thee and to me:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma."
and as a vesture shalt thou fold them up, and they shall be changed: but thou art the same, and thy years shall not fail.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
"huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukipitia kazi zake utajua tu kuwa ni yuleyule rei blinky.hakuna mwingine kama yeye" anasema janowitz.
"he's one of those artists that when you go past one of his paintings, you instantly know it's a rei blinky. there's no one else like him," janowitz says.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
mungu wa abrahamu, isaka na yakobo, mungu wa baba zetu amemtukuza yesu mtumishi wake. yeye ndiye yuleyule mliyemtia mikononi mwa wakuu na kumkataa mbele ya pilato hata baada ya pilato kuamua kumwacha huru.
the god of abraham, and of isaac, and of jacob, the god of our fathers, hath glorified his son jesus; whom ye delivered up, and denied him in the presence of pilate, when he was determined to let him go.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mimi nilimwita tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. je, tito aliwanyonyeni? je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja?
i desired titus, and with him i sent a brother. did titus make a gain of you? walked we not in the same spirit? walked we not in the same steps?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, "je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule yerusalemu? tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!"
but all that heard him were amazed, and said; is not this he that destroyed them which called on this name in jerusalem, and came hither for that intent, that he might bring them bound unto the chief priests?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung