Sie suchten nach: zaidi kwenye hadithi hii (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

zaidi kwenye hadithi hii

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

bofy kwenye hadithi yangu kuona maoni yanayoanhwa na wasomaji.

Englisch

click on any story and see the comments the readers leave.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mlebanoni nights aligusia haja ya wanawake wengi zaidi kwenye #ab09:

Englisch

lebanese nights noted the need for more women at #ab09:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wimbo wa psy ulio katika mahadhi ya pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa youtube.

Englisch

psy's k-pop song gangnam style is the most watched video on youtube.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

blogu hizi ni uthibitisho kuwa kuna zaidi kwenye afrika zaidi ya siasa kama ilivyoonyeshwa na wanablogu wengi wa kiafrika.

Englisch

these blogs are proof that there is more to africa than politics as has been depicted by many african bloggers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

sera hii pya itamaanisha kuwa nchi itatumia raslimali zake zaidi kwenye kiingereza kwa gharama ya kulea na kuendeleza lugha za asili.

Englisch

the new policy will mean that as a country we will allocate more resources to english at the expense of nurturing and developing local languages.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wasifu wake unatanabaisha kuwa yeye ni mwandishi anayekua kwa kasi akilenga zaidi kwenye masuala ya mazingira, afya ya jamii na usawa katika jamii.

Englisch

her cv reads as a fast-growing multimedia journalist with keen interest in environment, public health, and social justice.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ni jambo la kawaida katika marekani ya latini kwa wahamiaji kuondoka na kwenda kwenye malisho ya kijani zaidi kwenye nchi jirani au nchi za mbali.

Englisch

it is a common story across latin america, where emigrants set off to find greener pastures in neighboring or distant countries.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

anamiliki pia kampuni ya uchapishaji iitwayo dominion publishing house, inayochapisha vitabu vyake vyote (ambavyo vimejikita zaidi kwenye mafanikio).

Englisch

he also owns dominion publishing house, a thriving publishing company that publishes all his books (which are often centred on prosperity).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

uchambuzi wake unaonyesha akina nani walikuwa wahamasishaji wakuu, anuani za url zilizounganishwa zaidi kwenye alama zipi (hashtags) za twita zilitumika zaidi.

Englisch

his analysis shows who the key influencers were, what urls were most linked to and what hashtags were used most.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

orodha yetu ya makala 20 bora zilizosomwa zaidi kwenye tovuti ya global voices kwa mwaka 2011 ni pamoja na nne kutoka japan, tatu kutoka misri, na mbili kutoka ufilipino.

Englisch

our top 20 list of most read posts on global voices for 2011 includes four from japan, three from egypt, and two from the philippines.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

blogu hiyo pia imekuwa ikitoa taarifa za njia bora za kutoa msaada katika hali inayochanganya sana, ambayo, kwa kutumia mtazamo wa makala mpya zaidi kwenye blogu hiyo, hali inazidi kuwa mbaya:

Englisch

the blog also offers information on how best to help in the midst of an untenable situation, which, judging by the blog's most recent post, is worsening:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ilipofikia mwaka 2009 ushiriki wa watoa burudani wa bollywood (au filamu za kihindi) wenye makao mjini mumbai pamoja na wale wa kitamil na kitelugu waliongezeka zaidi kwenye kampeni za uchaguzi.

Englisch

fast forward to 2009 and the involvement of entertainers from bollywood (or the hindi film industry) based in mumbai and the tamil and telugu film industry have registered a significant spike in the election campaign.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kauli mbiu ya kisiasa ya chama cha pf ya fedha zaidi kwenye mifuko yenu ilikuwa kweli tupu. sisi wengine hatujaziona hizi fedha, bado tunaenda kulala tukiwa tumekula mlo mmoja tu, lakini bado majirani zetu wananunua magari ya kifahari kwa bilioni 1.

Englisch

true to the pf political slogan of more money in your pockets, we have not seen this money, we still go to bed having only eaten one meal, and yet our neighbours are buying luxury cars at 1 billion.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hadithi hii ya april peavy iliyoandikwa kwa ajili ya the world ilionekana kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa pri.org mnamo aprili 7, 2014 na inachapishwa tena kwenye global voices kama sehemu ya makubaliano ya kushirikiana maudhui.

Englisch

this story by april peavy for the world originally appeared on pri.org on april 7, 2014 and is republished on global voices as part of a content sharing agreement.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kukamatwa kwa pu na wengine ni tangazo muhimu zaidi kwenye maadhimisho ya miaka 25 na kwa kweli litavutia macho ya watu kuliko serikali inavyodhani. — maya wang 阿莲 (@wang_maya) may 6, 2014

Englisch

detention of pu and others r the best ads for the 25th anniversary & is attracting exactly the kind of attention the authorities don't want. — maya wang 阿莲 (@wang_maya) may 6, 2014

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

-kuna mtandao ulijpanga wa ujambazi (uchwara) kwenye soko la mokolo, uwe makini na chochote unachofanya kila mara unapojikuta pale, (mtandao) uliojipanga kwa sababu wanachohitaji zaidi ni fedha zako, na kila mmoja aliye kwenye maeneo hayo anajua wapi unaweza kuupata mkoba wako baada ya tukio, nani ajuye kama kuna zaidi kwenye mpango mzima kuliko kinachoonekana?

Englisch

- there exist organised (petty) crime in the mokolo market, beware in all you do whenever you find yourself there, organised because all they want is your money, and everyone around knows where you can find your bag after the incident, who knows if there is more to the whole setup than meets the eyes?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,747,453,212 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK