Sie suchten nach: mwakilishi (Swahili - Französisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

French

Info

Swahili

mwakilishi

French

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Französisch

Info

Swahili

na mimi si mwakilishi juu yenu.

Französisch

je ne suis nullement un protecteur pour vous.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na tungeli penda tungeli yaondoa tuliyo kufunulia. kisha usingeli pata mwakilishi wa kukupigania kwetu kwa haya.

Französisch

si nous voulons, nous pouvons certes faire disparaître ce que nous t'avons révélé; et tu n'y trouverais par la suite aucun défenseur contre nous.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwakilishi wa iran koingozi mkuu katika mashariki ya azarbaijan alisema tetemeko hili linatukumbusha "siku ya hukumu '.

Französisch

le représentant du guide suprême dans l'azerbaïdjan oriental a dit que ce tremblement de terre nous rappelle "au jugement dernier'.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

sasa tuna mwakilishi wetu kutoka mauritania, oumar ball, aliyeanza kuchora kwa kutumia uchunguzi miaka michache iliyopita na yeye huchapisha kazi zake kwenye mtandao wa flickr.

Französisch

le prochain aura lieu à barcelone. nous avons maintenant un autre correspondant de mauritanie, oumar ball, qui a commencé à dessiner sur le vif il y a quelques années et publie son travail sur flickr.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwanablogu na mzazi anayeasili all buttoned up waliungana na kumshukuru mwakilishi kwa kusaidi upatikanaji wa tps na pia wanaomba kwamba msaada zaidi utolewe kwa mayatima wengi walio nchin haiti, anaandika:

Französisch

la blogueuse et mère adoptive all buttoned up envisage de remercier son élu pour avoir poussé au tps et elle demande aussi une aide pour les nombreux orphelins de haïti, écrivant :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

leonid kalashnikov, naibu mwakilishi wa kamati ya bunge la urusi ya mambo ya kimataifa, aliiambia tv rain haikuwa na maana yoyote kujua nani wa kumlaumu kwa kuiangusha ndege hiyo:

Französisch

le vice-président de la commission des affaires internationales de la douma leonid kalachnikov a déclaré à tv-dojd que peu importe qui est coupable d'avoir abattu l'avion :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mambo hayo yamekuwa mfano; mama hao wawili ni mfano wa maagano mawili; la kwanza ni lile lililofanyika mlimani sinai, mwakilishi wake ni hagari, na watoto wake wanazaliwa utumwani.

Französisch

ces choses sont allégoriques; car ces femmes sont deux alliances. l`une du mont sinaï, enfantant pour la servitude, c`est agar, -

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwakilishi maalumu wa umoja wa mataifa kuhusu ukuaji wa elimu ulimwenguni, bw gordon brown alikuwa nchini pakistani siku ya ijumaa (tarehe 9 novemba) ili kujadiliana kuhusu mustakabali wa elimu ya wasichana nchini humo.

Französisch

l'ambassadeur spécial des nations unies pour le développement de l'éducation mondiale, gordon brown, était au pakistan vendredi (9 novembre) pour discuter de l'avenir de l'enseignement des filles dans ce pays.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

akizungumza katika kongamano maalumu kuhusu tathmini ya athari za mazingira kwa ajili ya awamu ya kwanza ya kuendeleza maeneo yenye mafuta ya jubilee, lililoandaliwa na mwakilishi wa mkoa huo wa baraza la machifu katika sekondi, alisema eneo hilo halijafaidika na raslimali kama bahari, dhahabu na vito vingine, magogo na madini mengine.

Französisch

dans un discours prononcé lors d'une audition spéciale sur l'évaluation de l'impact environnemental du développement de la première phase du gisement pétrolifère baptisé jubilee, organisée par la chambre occidentale des chefs traditionnels à sekondi, il a déclaré que la région n'avait pas tiré profit de ses ressources naturelles comme la mer, l'or, la bauxite, le bois et d'autres métaux.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,773,284,127 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK