Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
alijua kwamba mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.
וידע בלבב שלם כי את אשר הבטיח גם יכל לעשותו׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
כי ידע אשר רק מקנאה מסרו אתו׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
(alisema hivyo kwa kumjaribu filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.)
ואך למען נסות אתו דבר זאת כי הוא ידע את אשר יעשה׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi yesu kwake kwa sababu ya wivu.
כי ידע אשר רק מקנאה מסרוהו ראשי הכהנים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu alijua kwamba baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa mungu na anarudi kwa mungu.
וידע ישוע כי נתן אביו את הכל בידו וכי מאלהים בא ואל אלהים ישוב׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
lakini kwa vile daudi alikuwa nabii, alijua kuwa mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.
והוא בהיותו נביא ומדעתו את השבועה אשר נשבע לו האלהים להקים את המשיח כפי הבשר מפרי חלציו להושיבו על כסאו׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu alijua mawazo yao, akawaambia, "enyi watu wenye imani haba! mbona mnajadiliana juu ya kutokuwa na mikate?
וידע ישוע ויאמר אליהם קטני האמונה מה תחשבו בלבבכם כי לא לקחתם אתכם לחם׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
alikuwa mzee wa karibu miaka mia moja, lakini imani yake haikufifia ingawa alijua kwamba mwili wake ulikuwa kama umekufa, na pia mkewe, sara, alikuwa tasa.
ולא רפתה אמונתו ולא התבונן אל גופו שכבר נפוג בהיותו כבן מאת שנה ואל בלות רחם שרה׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
herode alimwogopa yohane kwa maana alijua kwamba yeye ni mtu mwema na mtakatifu, na hivyo akamlinda. herode alipenda kumsikiliza yohane, ingawaje baada ya kumsikiliza, alifadhaika sana.
כי הורדוס ירא את יוחנן בדעתו כי הוא איש צדיק וקדוש ויגן בעדו והרבה עשה בשמעו אליו ויאהב לשמע אתו׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
lakini yesu alijua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, "inuka, simama katikati." yule mtu akaenda akasimama katikati.
והוא ידע את מחשבותם ויאמר אל האיש אשר ידו יבשה קום ועמוד בתוך ויקם ויעמד׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
yesu alijua bila kuambiwa na mtu kwamba wanafunzi wake walikuwa wananung'unika juu ya jambo hilo, akawauliza, "je, jambo hili linawafanya muwe na mashaka?
ויבן ישוע בלבו כי תלמידיו מלינים על זאת ויאמר אליהם הזאת לכם למכשול׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!
ולפני חג הפסח כשידע ישוע כי באה שעתו לעבר מן העולם הזה אל אביו כאשר אהב את בחיריו אשר בעולם כן אהבם עד הקץ׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu alijua kwamba walitaka kumwuliza, basi akawaambia, "je, mnaulizana juu ya yale niliyosema: bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?
וידע ישוע כי עם לבבם לשאל אתו ויאמר אליהם העל זאת אתם דרשים ביניכם כי אמרתי הן מעט ולא תראוני ועוד מעט ותחזוני׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung