Sie suchten nach: walimu (Swahili - Latein)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Latein

Info

Swahili

hakuwa kama walimu wao wa sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.

Latein

erat enim docens eos sicut potestatem habens non sicut scribae eorum et pharisae

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baadhi ya walimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,

Latein

erant autem illic quidam de scribis sedentes et cogitantes in cordibus sui

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

siku ya tatu walimkuta hekaluni kati ya walimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali.

Latein

et factum est post triduum invenerunt illum in templo sedentem in medio doctorum audientem illos et interrogante

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

"walimu wa sheria na mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua sheria ya mose.

Latein

dicens super cathedram mosi sederunt scribae et pharisae

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

baadhi ya mafarisayo na walimu wa sheria waliokuwa wametoka yerusalemu walikusanyika mbele ya yesu.

Latein

et conveniunt ad eum pharisaei et quidam de scribis venientes ab hierosolymi

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

makuhani wakuu na walimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Latein

stabant etiam principes sacerdotum et scribae constanter accusantes eu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lakini mafarisayo na walimu wa sheria walikataa mpango wa mungu uliowahusu wakakataa kubatizwa na yohane.

Latein

pharisaei autem et legis periti consilium dei spreverunt in semet ipsos non baptizati ab e

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wakamwuliza yesu, "mbona walimu wa sheria wanasema kwamba ni lazima eliya aje kwanza?"

Latein

qui respondens ait illis helias cum venerit primo restituet omnia et quomodo scriptum est in filium hominis ut multa patiatur et contemnatu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

basi, wakampeleka yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa sheria walikuwa wamekutanika.

Latein

et adduxerunt iesum ad summum sacerdotem et conveniunt omnes sacerdotes et scribae et seniore

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, hao watu waliomkamata yesu walimpeleka nyumbani kwa kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika walimu wa sheria na wazee.

Latein

at illi tenentes iesum duxerunt ad caiaphan principem sacerdotum ubi scribae et seniores conveneran

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yesu akawauliza walimu wa sheria na mafarisayo, "je, ni halali au la kumponya mtu siku ya sabato?"

Latein

et respondens iesus dixit ad legis peritos et pharisaeos dicens si licet sabbato curar

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

walimu wa sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu.

Latein

et quaerebant principes sacerdotum et scribae mittere in illum manus illa hora et timuerunt populum cognoverunt enim quod ad ipsos dixerit similitudinem ista

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

makuhani wakuu na walimu wa sheria waliposikia hayo, walianza kutafuta njia ya kumwangamiza. lakini walimwogopa kwa sababu umati wa watu ulishangazwa na mafundisho yake.

Latein

quo audito principes sacerdotum et scribae quaerebant quomodo eum perderent timebant enim eum quoniam universa turba admirabatur super doctrina eiu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

"sikilizeni! tunakwenda yerusalemu, na huko mwana wa mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa sheria, nao watamhukumu auawe.

Latein

ecce ascendimus hierosolymam et filius hominis tradetur principibus sacerdotum et scribis et condemnabunt eum mort

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

sasa mngalipaswa kuwa tayari walimu, lakini mnahitaji bado mtu wa kuwafundisheni mafundisho ya mwanzo ya ujumbe wa mungu. badala ya kula chakula kigumu, mnapaswa bado kunywa maziwa.

Latein

etenim cum deberetis magistri esse propter tempus rursum indigetis ut vos doceamini quae sint elementa exordii sermonum dei et facti estis quibus lacte opus sit non solido cib

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, mafarisayo na walimu wa sheria wakamwuliza yesu, "mbona wanafunzi wako hawayajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?"

Latein

et interrogant eum pharisaei et scribae quare discipuli tui non ambulant iuxta traditionem seniorum sed communibus manibus manducant pane

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

"sikilizeni! tunakwenda yerusalemu, na huko mwana wa mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa sheria, nao watamhukumu auawe na kumkabidhi kwa watu wa mataifa.

Latein

quia ecce ascendimus in hierosolyma et filius hominis tradetur principibus sacerdotum et scribis et senioribus et damnabunt eum morti et tradent eum gentibu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

siku moja yesu alikuwa akifundisha. mafarisayo na walimu wa sheria kutoka katika kila kijiji cha galilaya, yudea na yerusalemu, walikuwa wameketi hapo. nguvu ya bwana ilikuwa pamoja naye kwa ajili ya kuponyea wagonjwa.

Latein

et factum est in una dierum et ipse sedebat docens et erant pharisaei sedentes et legis doctores qui venerant ex omni castello galilaeae et iudaeae et hierusalem et virtus erat domini ad sanandum eo

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika mafundisho yake, yesu alisema, "jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,

Latein

et dicebat eis in doctrina sua cavete a scribis qui volunt in stolis ambulare et salutari in for

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

basi, baadhi ya walimu wa sheria ambao walikuwa mafarisayo walipomwona yesu akila pamoja na watu wenye dhambi na watoza ushuru, wakawauliza wanafunzi wake, "kwa nini anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Latein

et scribae et pharisaei videntes quia manducaret cum peccatoribus et publicanis dicebant discipulis eius quare cum publicanis et peccatoribus manducat et bibit magister veste

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
8,927,562,695 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK