Sie suchten nach: baharini (Swahili - Spanisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

baharini

Spanish

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Spanisch

Info

Swahili

hao watu wamekusahau mwindaji mkuu wa baharini.

Spanisch

estas personas olvidan que eres el depredador máximo de los apex océanos.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na yeye anajua kilioko nchi kavu na baharini.

Spanisch

Él sabe lo que hay en la tierra y en el mar.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi tukamshika yeye na majeshi yake, na tukawatupa baharini.

Spanisch

entonces, les sorprendimos, a él y a sus tropas, y les precipitamos en el mar.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na ni vyake yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima.

Spanisch

suyas son las embarcaciones, que sobresalen en el mar como mojones.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

sema: ni nani anaye kuokoeni katika giza la nchi kavu na baharini?

Spanisch

di: «¿quién os librará de las tinieblas de la tierra y del mar?»

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

akachagua mti; wale waliokuwa kwenye paa walisombwa na mafuriko kuelekea baharini.

Spanisch

eligió el árbol; a los que estaban en el techo los arrastró totalmente el mar.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, na yeye ndiye wa kulaumiwa.

Spanisch

entonces les sorprendimos, a él y a sus tropas, y los arrojamos al mar. había incurrido en censura.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na akafanya yakutumikieni majahazi yanayo pita baharini kwa amri yake, na akaifanya mito ikutumikieni.

Spanisch

ha sujetado a vuestro servicio las naves para que, por su orden, surquen el mar. ha sujetado a vuestro servicio los ríos.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi tuliwapatiliza, tuka- wazamisha baharini kwa sababu walizikanusha ishara zetu, na wakaghafilika nazo.

Spanisch

nos vengamos de ellos anegándoles en el mar por haber desmentido nuestros signos y por no haber hecho caso de ellos.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

"tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.

Spanisch

asimismo, el reino de los cielos es semejante a una red que fue echada en el mar y juntó toda clase de peces

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

Spanisch

y, cuando alcanzaron su confluencia, se olvidaron de su pez, que emprendió tranquilamente el camino hacia la gran masa de agua.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwani huoni kwamba marikebu hupita baharini zikichukua neema za mwenyezi mungu, ili kukuonyesheni baadhi ya ishara zake?

Spanisch

¿no ves que las naves navegan por la gracia de alá, para que Él os muestre algunos de sus signos?

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na mtazame huyo mungu wako uliye endelea kumuabudu - sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike.

Spanisch

¡y mira a tu dios, a cuyo culto tanto te has entregado! ¡hemos de quemarlo y dispersar sus cenizas por el mar!

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za mungu wafanyao kazi baharini. nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

Spanisch

en cuanto a la nave, pertenecía a unos pobres que trabajaban en el mar y yo quise averiarla, pues detrás de ellos venía un rey que se apoderaba por la fuerza de todas las naves.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

nyinyi mmehalalishiwa kuvua vinyama vya baharini na kuvila, kwa faida yenu na kwa wasafiri. na mmeharimishiwa mawindo ya wanyama wa bara maadamu mmeharimia hija.

Spanisch

os es lícita la pesca y alimentaros de ella para disfrute vuestro y de los viajeros, pero os está prohibida la caza mientras dure vuestra sacralización.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

"nchi ya zabuloni na nchi ya naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto yordani, galilaya nchi ya watu wa mataifa!

Spanisch

tierra de zabulón y tierra de neftalí, camino del mar, al otro lado del jordán, galilea de los gentiles

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

na hakika tumewatukuza wanaadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri, na tumewafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba.

Spanisch

hemos honrado a los hijos de adán. los hemos llevado por tierra y por mar, les hemos proveído de cosas buenas y los hemos preferido marcadamente a muchas otras criaturas.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

je! huoni kwamba mwenyezi mungu amevidhalilisha kwenu viliomo katika ardhi, na marikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika mbingu zisianguke juu ya ardhi ila kwa idhini yake.

Spanisch

¿no ves que alá ha sujetado a vuestro servicio lo que hay en la tierra, así como las naves que navegan siguiendo su orden? sostiene el cielo para que no se desplome sobre la tierra, si no es con su permiso.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.

Spanisch

después de esto, vi a cuatro ángeles que estaban de pie sobre los cuatro puntos cardinales de la tierra, y que detenían los cuatro vientos de la tierra, para que no soplase viento alguno sobre la tierra, ni sobre el mar, ni sobre ningún árbol

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ndege wa magellanic, rockhopper, simba wa baharini waitwao patagoni, nyangumi wa peale, waishio kwenye mto, na aina mbalimbali za wanyama ni sehemu ya utajiri wa wanyama unaopatikana kwenye eneo hili.

Spanisch

pingüinos magallánicos, pingüinos de penacho amarillo, lobos marinos, delfín austral, cormoranes, toninas, ostreros y gaviotines es la gran variedad que se puede avistar.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,800,576,056 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK