Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
القسم الذي حلف لابراهيم ابينا
kiapo alichomwapia abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia sisi
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
كما كلم آباءنا. لابراهيم ونسله الى الابد.
kama alivyowaahidia wazee wetu abrahamu na wazawa wake hata milele."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
فانه مكتوب انه كان لابراهيم ابنان واحد من الجارية والآخر من الحرة.
imeandikwa katika maandiko matakatifu kwamba abrahamu alikuwa na watoto wawili: mmoja kwa mwanamke mtumwa, na wa pili kwa mwanamke huru.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
وكما كان يقرب وقت الموعد الذي اقسم الله عليه لابراهيم كان ينمو الشعب ويكثر في مصر
"wakati ulipotimia mungu aitimize ahadi aliyompa abrahamu, idadi ya wale watu kule misri ilikwisha ongezeka na kuwa kubwa zaidi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
لانه ان كانت الوراثة من الناموس فلم تكن ايضا من موعد. ولكن الله وهبها لابراهيم بموعد
maana, kama urithi ya mungu inategemea sheria, basi, haiwezi kutegemea tena ahadi ya mungu. kumbe, lakini mungu alimkirimia abrahamu kwa sababu aliahidi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
أفهذا التطويب هو على الختان فقط ام على الغرلة ايضا. لاننا نقول انه حسب لابراهيم الايمان برا.
je, hiyo ni kwa wale waliotahiriwa tu, ama pia kwa wale wasiotahiriwa? ni kwa wale wasiotahiriwa pia. kwa maana tumekwisha sema: "abrahamu aliamini, naye mungu akamkubali kuwa mwadilifu."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ولا تفتكروا ان تقولوا في انفسكم لنا ابراهيم ابا. لاني اقول لكم ان الله قادر ان يقيم من هذه الحجارة اولادا لابراهيم.
msidhani kwamba mtaweza kujitetea kwa kusema, baba yetu ni abrahamu! nawaambieni hakika, mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa abrahamu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
فاصنعوا اثمارا تليق بالتوبة. ولا تبتدئوا تقولون في انفسكم لنا ابراهيم ابا. لاني اقول لكم ان الله قادر ان يقيم من هذه الحجارة اولادا لابراهيم.
basi, onyesheni kwa matendo kwamba mmetubu. msianze sasa kusema: sisi ni watoto wa abrahamu. nawaambieni hakika, mungu anaweza kuyageuza mawe haya yawe watoto wa abrahamu!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: