Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
لانه علم انهم اسلموه حسدا.
alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
لانه ليس شيء غير ممكن لدى الله.
kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa mungu."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ذاك يمجدني لانه يأخذ مما لي ويخبركم.
yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ملقين كل همكم عليه لانه هو يعتني بكم
mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
فاحتفظ منه انت ايضا لانه قاوم اقوالنا جدا.
jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
لانه بقربان واحد قد اكمل الى الابد المقدّسين.
basi, kwa dhabihu yake moja tu, amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wanaotakaswa dhambi zao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
لانه حيثما تكن الجثّة فهناك تجتمع النسور
pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
قائلا توبوا لانه قد اقترب ملكوت السموات.
"tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
لانه قد انفتح لي باب عظيم فعال ويوجد معاندون كثيرون
mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
فستلد ابنا وتدعو اسمه يسوع لانه يخلّص شعبه من خطاياهم.
atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
لان تلاميذه كانوا قد مضوا الى المدينة ليبتاعوا طعاما.
(wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.)
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: