Results for وكانت translation from Arabic to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Arabic

Swahili

Info

Arabic

وكانت

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Arabic

Swahili

Info

Arabic

وكانت الساعة الثالثة فصلبوه.

Swahili

ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت المدينة كلها مجتمعة على الباب.

Swahili

watu wote wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت مريم المجدلية ومريم ام يوسي تنظران اين وضع

Swahili

nao maria magdalene na maria mama yake yose walipaona hapo alipolazwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت بيت عنيا قريبة من اورشليم نحو خمس عشرة غلوة.

Swahili

kijiji cha bethania kilikuwa karibu na yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكان لها شعر كشعر النساء وكانت اسنانها كاسنان الأسود.

Swahili

nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت حماة سمعان مضطجعة محمومة. فللوقت اخبروه عنها.

Swahili

basi, mama mmoja, mkwewe simoni, alikuwa kitandani ana homa kali. wakamwarifu yesu mara alipowasili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكان الصبي ينمو ويتقوى بالروح ممتلئا حكمة وكانت نعمة الله عليه

Swahili

mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya mungu ilikuwa pamoja naye.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وفي اليوم الثالث كان عرس في قانا الجليل وكانت ام يسوع هناك.

Swahili

siku ya tatu kulikuwa na arusi mjini kana, mkoani galilaya. mama yake yesu alikuwapo,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

فصنعوا له هناك عشاء. وكانت مرثا تخدم واما لعازر فكان احد المتكئين معه.

Swahili

huko walimwandalia chakula cha jioni, naye martha akawa anawatumikia. lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

فصرفوا الجمع واخذوه كما كان في السفينة. وكانت معه ايضا سفن اخرى صغيرة.

Swahili

basi, wakauacha ule umati wa watu, wakamchukua yesu katika mashua alimokuwa. palikuwapo pia mashua nyingine hapo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت مريم التي كان لعازر اخوها مريضا هي التي دهنت الرب بطيب ومسحت رجليه بشعرها.

Swahili

maria ndiye yule aliyempaka bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت الحيوانات الاربعة تقول آمين. والشيوخ الاربعة والعشرون خرّوا وسجدوا للحي الى ابد الآبدين

Swahili

na vile viumbe vinne hai vikasema, "amina!" na wale wazee wakaanguka kifudifudi, wakaabudu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

وكانت ايضا نساء ينظرن من بعيد بينهنّ مريم المجدلية ومريم ام يعقوب الصغير ويوسي وسالومة.

Swahili

walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa maria toka mji wa magdala, salome, na maria mama wa kina yakobo mdogo na yose.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وكانت مذكرة قضائية قد أصدرت لاعتقاله يوم الثلاثاء قبله، بعد فض عنيف لمظاهرة في القاهرة.

Swahili

hati ya kukamatwa abd el fattah ilitolewa jumanne iliyopita, kufuatia kusambaa kwa vurugu ya waandamanaji mjini cairo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

ووقفت عند قدميه من ورائه باكية وابتدأت تبل قدميه بالدموع وكانت تمسحهما بشعر راسها وتقبل قدميه وتدهنهما بالطيب.

Swahili

akaja, akasimama karibu na miguu yake yesu, akilia, na machozi yake yakamdondokea yesu miguuni. huyo mwanamke akaipangusa miguu ya yesu kwa nywele zake. kisha akaibusu na kuipaka yale marashi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

إيمانويل كانت

Swahili

immanuel kant

Last Update: 2015-04-11
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,794,275,445 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK