Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

一 共 約 有 十 個 人

Swahili

wote jumla, walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

人 就 在 那 裡 同 門 徒 住 了 多 日

Swahili

wakakaa pamoja na wale waumini kwa muda mrefu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

人 經 過 彼 西 底 、 來 到 旁 非 利 亞

Swahili

baada ya kupitia katika nchi ya pisidia, walifika pamfulia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

到 了 晚 上 、 耶 穌 和 十 個 門 徒 坐 席

Swahili

kulipokuwa jioni, yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

並 且 顯 給 磯 法 看 . 然 後 顯 給 十 使 徒 看

Swahili

kwamba alimtokea kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na wawili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

天 、 他 們 從 伯 大 尼 出 來 . 耶 穌 餓 了

Swahili

kesho yake, walipokuwa wanatoka bethania, yesu aliona njaa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

人 對 著 眾 人 跺 下 腳 上 的 塵 土 、 就 往 以 哥 念 去 了

Swahili

basi, mitume wakayakung'uta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda ikonio.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

你 想 我 不 能 求 我 父 、 現 在 為 我 差 遣 十 營 多 天 使 來 麼

Swahili

je, hamjui kwamba ningeweza kumwomba baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

因 此 人 要 離 開 父 母 、 與 妻 子 連 合 、 人 成 為 一 體

Swahili

hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

作   神 和 主 耶 穌 基 督 僕 人 的 雅 各 、 請 散 住 十 個 支 派 之 人 的 安

Swahili

mimi yakobo, mtumishi wa mungu na wa bwana yesu kristo, nawaandikia ninyi, makabila kumi na mawili, yaliyotawanyika ulimwenguni! salaam!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 就 設 立 十 個 人 、 要 他 們 常 和 自 己 同 在 、 也 要 差 他 們 去 傳 道

Swahili

naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

又 領 他 們 出 來 、 說 、 位 先 生 、 我 當 怎 樣 行 纔 可 以 得 救

Swahili

halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

五 個 麻 雀 、 不 是 賣 分 銀 子 麼 . 但 在   神 面 前 、 一 個 也 不 忘 記

Swahili

inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti kumi, au sivyo? lakini mbele ya mungu hasahauliki hata mmoja.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 人 、 在   神 面 前 都 是 義 人 、 遵 行 主 的 一 切 誡 命 禮 儀 、 沒 有 可 指 摘 的

Swahili

wote wawili walikuwa wanyofu mbele ya mungu, wakiishi kwa kufuata amri na maagizo yote ya bwana bila lawama.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

人 出 了 監 、 往 呂 底 亞 家 裡 去 . 見 了 弟 兄 們 、 勸 慰 他 們 一 番 、 就 走 了

Swahili

paulo na sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa ludia. huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,166,994,940 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK