Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

因 為 人 的 氣 、 並 不 成 就   神 的 義

Swahili

mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya mungu yaliyo ya haki.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

公 會 的 人 聽 見 就 極 其 惱 、 想 要 殺 他 們

Swahili

wajumbe wote wa lile baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

因 為 他 們 忿 的 大 日 到 了 、 誰 能 站 得 住 呢

Swahili

maana siku maalum ya ghadhabu yao imefika. nani awezaye kuikabili?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

他 們 就 滿 心 大 、 彼 此 商 議 、 怎 樣 處 治 耶 穌

Swahili

lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea yesu maovu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

四 活 物 中 有 一 個 把 盛 滿 了 活 到 永 永 遠 遠 之   神 大 的 七 個 金 碗 給 了 那 七 位 天 使

Swahili

kisha, mmojawapo wa vile viumbe vinne akawapa hao malaika saba mabakuli ya dhahabu yaliyojaa ghadhabu ya mungu, aishiye milele na milele.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

主 人 就 大 、 把 他 交 給 掌 刑 的 、 等 他 還 清 了 所 欠 的 債

Swahili

"basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

惟 有 結 黨 不 順 從 真 理 、 反 順 從 不 義 的 、 就 以 忿 惱 恨 報 應 他 們

Swahili

lakini wale wengine wenye ubinafsi, wenye kukataa mambo ya haki na kufuata uovu, wataangukiwa na ghadhabu na hasira ya mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

不 要 被 人 虛 浮 的 話 欺 哄 . 因 這 些 事 、   神 的 忿 必 臨 到 那 悖 逆 之 子

Swahili

msikubali kudanganywa na mtu kwa maneno matupu; maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu ya mungu huwajia wote wasiomtii.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

不 作 害 羞 的 事 . 不 求 自 己 的 益 處 . 不 輕 易 發 . 不 計 算 人 的 惡

Swahili

mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

不 許 我 們 傳 道 給 外 邦 人 使 外 邦 人 得 救 、 常 常 充 滿 自 己 的 罪 惡 .   神 的 忿 臨 在 他 們 身 上 已 經 到 了 極 處

Swahili

hata walijaribu kutuzuia kuwahubiria watu wa mataifa mengine ujumbe utakaowaletea wokovu. ndivyo walivyokamilisha orodha ya dhambi zote walizotenda siku zote. lakini sasa hasira ya mungu imewaangukia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

一 切 苦 毒 、 惱 恨 、 忿 、 嚷 鬧 、 毀 謗 、 並 一 切 惡 毒 、 〔 或 作 陰 毒 〕 都 當 從 你 們 中 間 除 掉

Swahili

basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele, matusi! achaneni na kila uovu!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,144,514,998 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK