Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

大 痳 瘋 即 時 離 開 他 、 他 就 潔

Swahili

mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

約 瑟 取 了 身 體 、 用 乾 細 麻 布 裹 好

Swahili

yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

到 了 、 就 看 見 裡 面 打 掃 乾 、 修 飾 好 了

Swahili

anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

只 要 把 裡 面 的 施 捨 給 人 、 凡 物 於 你 們 就 都 潔

Swahili

toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

牆 是 碧 玉 造 的 . 城 是 精 金 的 、 如 同 明 的 玻 璃

Swahili

ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

凡 向 他 有 這 指 望 的 、 就 潔 自 己 、 像 他 潔 一 樣

Swahili

basi, kila mtu aliye na tumaini hili katika kristo, hujiweka safi kama vile kristo alivyo safi kabisa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

第 二 次 有 聲 音 向 他 說 、   神 所 潔 的 、 你 不 可 當 作 俗 物

Swahili

ile sauti ikasikika tena ikimwambia: "usiviite najisi vitu ambavyo mungu amevitakasa!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

你 這 瞎 眼 的 法 利 賽 人 、 先 洗 杯 盤 的 裡 面 、 好 叫 外 面 也 乾

Swahili

mfarisayo kipofu! kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa safi pia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

有 一 個 長 大 痳 瘋 的 、 來 拜 他 說 、 主 若 肯 、 必 能 叫 我 潔

Swahili

basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia akisema, "bwana, ukitaka, waweza kunitakasa!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

主 對 他 說 、 如 今 你 們 法 利 賽 人 洗 杯 盤 的 外 面 . 你 們 裡 面 卻 滿 了 勒 索 和 邪 惡

Swahili

bwana akamwambia, "ninyi mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

你 們 這 假 冒 為 善 的 文 士 和 法 利 賽 人 有 禍 了 . 因 為 你 們 洗 杯 盤 的 外 面 、 裡 面 卻 盛 滿 了 勒 索 和 放 蕩

Swahili

"ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mnasafisha kikombe na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitu mlivyopata kwa unyang'anyi na uchoyo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

不 可 因 食 物 毀 壞   神 的 工 程 . 凡 物 固 然 潔 、 但 有 人 因 食 物 叫 人 跌 倒 、 就 是 他 的 罪 了

Swahili

basi, usiiharibu kazi ya mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,874,840,374 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK