Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

他 禁 食 四 十 晝 、 後 來 就 餓 了

Swahili

akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

城 門 白 晝 總 不 關 閉 . 在 那 裡 原 沒 有 黑

Swahili

milango ya mji huo itakuwa wazi mchana wote; maana hakutakuwa na usiku humo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 晝 常 在 墳 塋 裡 和 山 中 喊 叫 、 又 用 石 頭 砍 自 己

Swahili

mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaaza sauti na kujikatakata kwa mawe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

有 人 喊 著 說 、 新 郎 來 了 、 你 們 出 來 迎 接 他

Swahili

usiku wa manane kukawa na kelele: haya, haya! bwana arusi anakuja; nendeni kumlaki.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

在 伯 利 恆 之 野 地 裡 有 牧 羊 的 人 、 間 按 著 更 次 看 守 羊 群

Swahili

katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

約 拿 三 日 三 在 大 魚 肚 腹 中 . 人 子 也 要 這 樣 三 日 三 在 地 裡 頭

Swahili

jinsi yona alivyokaa siku tatu kutwa kucha tumboni mwa nyangumi, ndivyo naye mwana wa mtu atakavyokaa ndani ya ardhi siku tatu kutwa kucha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

但 他 們 的 計 謀 、 被 掃 羅 知 道 了 。 他 們 又 晝 在 城 門 守 候 要 殺 他

Swahili

lakini saulo alipata habari ya mpango huo. usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

間 主 在 異 象 中 對 保 羅 說 、 不 要 怕 、 只 管 講 、 不 要 閉 口

Swahili

siku moja usiku, bwana alimwambia paulo katika maono: "usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

所 以 他 們 在   神 寶 座 前 、 晝 在 他 殿 中 事 奉 他 . 坐 寶 座 的 要 用 帳 幕 覆 庇 他 們

Swahili

ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha mungu. humtumikia mungu mchana na usiku katika hekalu lake; naye aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

  神 的 選 民 、 晝 呼 籲 他 、 他 縱 然 為 他 們 忍 了 多 時 、 豈 不 終 久 給 他 伸 冤 麼

Swahili

je, ndio kusema mungu hatawatetea wale aliowachagua, ambao wanamlilia mchana na usiku? je, atakawia kuwasikiliza?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

  神 卻 對 他 說 、 無 知 的 人 哪 、 今 必 要 你 的 靈 魂 . 你 所 豫 備 的 、 要 歸 誰 呢

Swahili

lakini mungu akamwambia: mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. na vitu vile vyote ulivyojilundikia vitakuwa vya nani?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,934,420,943 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK