Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

祭 司 長 告 他 多 的 事

Swahili

makuhani wakuu wakamshtaki yesu mambo mengi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

主 所 應 我 們 的 就 是 永 生

Swahili

na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: uzima wa milele.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 還 用 多 別 的 話 辱 罵 他

Swahili

wakamtolea maneno mengi ya matusi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

也 不 人 拿 著 器 具 從 殿 裡 經 過

Swahili

hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

耶 穌 下 了 山 、 有 多 人 跟 著 他

Swahili

yesu aliposhuka kutoka mlimani, makundi mengi ya watu yalimfuata.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

聽 見 多 人 經 過 、 就 問 是 甚 麼 事

Swahili

aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, "kuna nini?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

且 滿 心 相 信 、   神 所 應 的 必 能 作 成

Swahili

alijua kwamba mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 被 定 罪 、 是 因 廢 棄 了 當 初 所 的 願

Swahili

na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

只 是 他 必 須 先 受 多 苦 、 又 被 這 世 代 棄 絕

Swahili

lakini kabla ya hayo, itambidi ateseke sana na kukataliwa na kizazi hiki.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 下 了 網 、 就 圈 住 多 魚 、 網 險 些 裂 開

Swahili

baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

你 必 歡 喜 快 樂 . 有 多 人 因 他 出 世 、 也 必 喜 樂

Swahili

utakuwa na furaha kubwa na watu wengi watashangilia kwa sababu ya kuzaliwa kwake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

並 且 不 懈 怠 . 總 要 效 法 那 些 憑 信 心 和 忍 耐 承 受 應 的 人

Swahili

msiwe wavivu, bali muwe kama wale wanaoamini na wenye uvumilivu na hivyo wanapokea yake aliyoahidi mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 的 話 如 同 毒 瘡 、 越 爛 越 大 . 其 中 有 米 乃 和 腓 理 徒

Swahili

mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni humenayo na fileto.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 用 比 喻 對 他 們 講 多 道 理 、 說 、 有 一 個 撒 種 的 出 去 撒 種

Swahili

naye yesu akawaambia mambo mengi kwa mifano. "sikilizeni! mpanzi alikwenda kupanda mbegu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

你 們 必 須 忍 耐 、 使 你 們 行 完 了   神 的 旨 意 、 就 可 以 得 著 所 應

Swahili

mnahitaji kuwa na uvumilivu, ili mweze kufanya anayotaka mungu na kupokea kile alichoahidi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

你 們 以 祈 禱 幫 助 我 們 、 好 叫 多 人 為 我 們 謝 恩 、 就 是 為 我 們 因 多 人 所 得 的 恩

Swahili

ninyi mkiwa mnatuunga mkono kwa kutuombea. hivyo neema tutakazokuwa tumepata kutokana na maombi ya watu wengi hivyo, ziwe sababu ya watu wengi zaidi kumshukuru mungu kwa ajili yetu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 聽 見 就 歡 喜 、 又 應 給 他 銀 子 . 他 就 尋 思 如 何 得 便 、 把 耶 穌 交 給 他 們

Swahili

makuhani wakuu waliposikia habari hiyo, walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. basi, yuda akaanza kutafuta nafasi ya kumsaliti yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

他 們 因 著 信 、 制 伏 了 敵 國 、 行 了 公 義 、 得 了 應 、 堵 了 獅 子 的 口

Swahili

kwa imani hawa wote walipigana vita na wafalme, wakashinda. walitenda mambo adili, wakapokea yale aliyoahidi mungu. walifunga vinywa vya simba,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,910,554,068 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK