Results for govoreæi translation from Croatian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

govoreæi: ovo je krv saveza koji vam odredi bog;

Swahili

mose alisema: "hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na mungu mlitii."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

govoreæi: "proreci nam, kriste, tko te udario?"

Swahili

wakasema, "haya kristo, tutabirie; ni nani amekupiga!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

i tako govoreæi, jedva sklonuše mnoštvo da im ne žrtvuje.

Swahili

ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

govoreæi: "ako si ti kralj židovski, spasi sam sebe!"

Swahili

wakisema: "kama kweli wewe ni mfalme wa wayahudi, jiokoe mwenyewe."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

i uze èašu, zahvali i dade im govoreæi: "pijte iz nje svi!

Swahili

kisha akatwaa kikombe, akamshukuru mungu, akawapa akisema, "nyweni nyote;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

i odjednom se anðelu pridruži silna nebeska vojska hvaleæi boga i govoreæi:

Swahili

mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni likajiunga na huyo malaika, wakamsifu mungu wakisema:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

govoreæi: "o kad bi i ti u ovaj dan spoznao što je za tvoj mir!

Swahili

akisema: "laiti ungelijua leo hii yale yaletayo amani! lakini sasa yamefichika machoni pako.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

doðe i drugi govoreæi: 'mna je tvoja, gospodaru, donijela pet mna.'

Swahili

mtumishi wa pili akaja, akasema: mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a moljaše ga èovjek iz koga iziðoše zlodusi da može ostati s njim, ali ga on otpusti govoreæi:

Swahili

yule mtu aliyetokwa na wale pepo akamsihi aende pamoja naye. lakini yesu hakumruhusu, bali akamwambia,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

govoreæi: "dajte i meni tu moæ da svatko na koga položim ruke primi duha svetoga."

Swahili

"nipeni na mimi uwezo huo ili yeyote nitakayemwekea mikono, apokee roho mtakatifu."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

svi su bili izvan sebe i divili se govoreæi: "gle! nisu li svi ovi što govore galilejci?

Swahili

walistaajabu na kushangaa, wakisema, "je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa galilaya?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

a vidite i èujete da je taj pavao ne samo u efezu nego gotovo i u svoj aziji uvjerio i preokrenuo poveliko mnoštvo govoreæi da nema bogova rukama izdjeljanih.

Swahili

sasa, mnaweza kusikia na kujionea wenyewe mambo paulo anayofanya, si tu hapa efeso, ila pia kote katika asia. yeye amewashawishi na kuwageuza watu wakakubali kwamba miungu ile iliyotengenezwa na watu si miungu hata kidogo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

"treæi, opet doðe govoreæi: 'gospodaru, evo ti tvoje mne. držao sam je pohranjenu u rupcu.

Swahili

"mtumishi mwingine akaja, akasema: chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

"vi ste sinovi proroka i saveza koji sklopi bog s ocima vašim govoreæi abrahamu: potomstvom æe se tvojim blagoslivljati sva plemena zemlje.

Swahili

ahadi zile mungu alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili yenu; na mnashiriki lile agano mungu alilofanya na babu zenu, kama alivyomwambia abrahamu: kwa njia ya wazawa wako, jamaa zote za dunia zitabarikiwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

a petar je sjedio vani u dvorištu. i pristupi mu jedna sluškinja govoreæi: "i ti bijaše s isusom galilejcem."

Swahili

petro alikuwa ameketi nje uani. basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, "wewe ulikuwa pamoja na yesu wa galilaya."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

dvadeset i èetiri starješine padnu nièice pred onim koji sjedi na prijestolju i poklone se njemu - Živomu u vijeke vjekova. i stavljaju svoje vijence pred prijestolje govoreæi:

Swahili

wale wazee ishirini na wanne hujiangusha mbele ya huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi na kumwabudu huyo ambaye anaishi milele na milele; na huziweka taji zao mbele ya kiti cha enzi wakisema:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

govoreæi: "sagriješih predavši krv nedužnu!" odgovoriše: "Što se to nas tièe? to je tvoja stvar!"

Swahili

akawaambia, "nimekosa kwa kumtoa mtu asiye na hatia auawe." lakini wao wakasema, "yatuhusu nini sisi? hilo ni shauri lako."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

a carinik, stojeæi izdaleka, ne usudi se ni oèiju podignuti k nebu, nego se udaraše u prsa govoreæi: 'bože milostiv budi meni grešniku!'

Swahili

lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a jedan otrèa, natopi spužvu octom, natakne na trsku i pruži mu piti govoreæi: "pustite da vidimo hoæe li doæi ilija da ga skine."

Swahili

mtu mmoja akakimbia, akachovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, "hebu tuone kama eliya atakuja kumteremsha msalabani!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

"a kad taj isti sluga izaðe, naiðe na jednoga svoga druga koji mu dugovaše sto denara. uhvati ga i stane ga daviti govoreæi: 'vrati što si dužan!'

Swahili

"lakini huyo mtumishi akaondoka, akamkuta mmoja wa watumishi wenzake aliyekuwa na deni lake fedha denari mia moja. akamkamata, akamkaba koo akisema, lipa deni lako!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,949,416,694 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK