Results for izabra translation from Croatian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Croatian

Swahili

Info

Croatian

izabra

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

a pavao sebi izabra silu pa od braæe povjeren milosti gospodnjoj

Swahili

naye paulo akamchagua sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya bwana, akaondoka.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

radije izabra biti zlostavljan zajedno s božjim narodom, nego se èasovito okoristiti grijehom.

Swahili

aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i neplemenite svijeta i prezrene izabra bog, i ono što nije, da uništi ono što jest,

Swahili

mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

kad se razdanilo, dozva k sebi uèenike te izmeðu njih izabra dvanaestoricu, koje prozva apostolima:

Swahili

kesho yake aliwaita wanafunzi wake, na miongoni mwao akachagua kumi na wawili ambao aliwaita mitume:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

tako: u njemu nas sebi izabra prije postanka svijeta da budemo sveti i bez mane pred njim;

Swahili

kabla ya kuumbwa ulimwengu, mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. kwa sababu ya upendo wake,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

bog naroda ovoga, izraela, izabra oce naše i uzdiže narod za boravka u zemlji egipatskoj te ga ispruženom rukom izvede iz nje.

Swahili

mungu wa taifa hili la israeli aliwateua babu zetu na kuwafanya wawe taifa kubwa walipokuwa ugenini kule misri. mungu aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i kad gospodin ne bi skratio dane one, nitko se ne bi spasio. no poradi izabranih, koje on sebi izabra, skratio je on te dane."

Swahili

kama bwana asingepunguza siku hizo, hakuna binadamu ambaye angeokolewa. lakini kwa ajili ya wateule wake, bwana amezipunguza siku hizo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

nakon duge raspre ustade petar i reèe im: "braæo, vi znate kako me bog od najprvih dana izmeðu vas izabra da iz mojih usta pogani èuju rijeè evanðelja i uzvjeruju.

Swahili

baada ya majadiliano marefu, petro alisimama, akasema, "ndugu zangu, ninyi mnafahamu kwamba hapo awali mungu alipenda kunichagua mimi miongoni mwenu niihubiri habari njema, ili watu wa mataifa wapate kusikia na kuamini.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

prijedlog se svidje svemu mnoštvu pa izabraše stjepana, muža puna vjere i duha svetoga, zatim filipa, prohora, nikanora, timona, parmenu te antiohijskog pridošlicu nikolu.

Swahili

jambo hilo likaipendeza jumuiya yote ya waumini. wakawachagua stefano, mtu mwenye imani kubwa na mwenye kujawa na roho mtakatifu, filipo, prokoro, nikanora, timona, parmena na nikolao wa antiokia ambaye hapo awali alikuwa ameongokea dini ya kiyahudi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,141,379 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK