Results for kristu translation from Croatian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

takvo pouzdanje imamo po kristu u boga.

Swahili

tunaweza kusema hayo kwa sababu ya tumaini letu tulilo nalo kwa mungu kwa njia ya kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

kako li se svjedoèanstvo o kristu utvrdilo u vama

Swahili

kwani, ujumbe juu ya kristo umethibitishwa ndani yenu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

ljubav moja sa svima vama u kristu isusu!

Swahili

mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana na kristo yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

pozdravite apela, prokušanoga u kristu. pozdravite aristobulove.

Swahili

nisalimieni apele ambaye uaminifu wake kwa kristo umethibitishwa. salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa aristobulo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

koga bogato izli na nas po isusu kristu, spasitelju našemu,

Swahili

mungu alitumiminia roho mtakatifu bila kipimo kwa njia ya yesu kristo, mwokozi wetu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

nikakve dakle sada osude onima koji su u kristu isusu!

Swahili

kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao katika maisha yao wameungana na kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

da, tko tako kristu služi, mio je bogu i cijene ga ljudi.

Swahili

anayemtumikia kristo namna hiyo humpendeza mungu, na kukubaliwa na watu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a hvala bogu koji nam daje pobjedu po gospodinu našem isusu kristu!

Swahili

lakini tumshukuru mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a bog postojanosti i utjehe dao vam da meðusobno budete složni po kristu isusu

Swahili

mungu aliye msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni ninyi kuwa na msimamo mmoja kufuatana na mfano wake kristo yesu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

imam se dakle èime dièiti u kristu isusu s obzirom na ono što je božje.

Swahili

kwa hiyo, nikiwa nimeungana na kristo yesu, naweza kujivunia huduma yangu kwa ajili ya mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a sve je od boga koji nas sa sobom pomiri po kristu i povjeri nam službu pomirenja.

Swahili

yote ni kazi ya mungu mwenye kutupatanisha sisi naye kwa njia ya kristo, akatupa nasi jukumu la kuwapatanisha watu naye.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

da budemo na hvalu slave njegove - mi koji smo se veæ prije nadali u kristu.

Swahili

basi, sisi tuliotangulia kumtumainia kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa mungu!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

da u dobrohotnosti prema nama u kristu isusu pokaže buduæim vjekovima preobilno bogatstvo milosti svoje.

Swahili

ndivyo alivyopenda kuonyesha kwa watu wa nyakati za baadaye, ukuu wa neema yake aliyotujalia kwa ukarimu katika kuungana kwetu na kristo yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

"Što mislite o kristu? Èiji je on sin?" kažu mu: "davidov."

Swahili

"ninyi mwaonaje juu ya kristo? je, ni mwana wa nani?" wakamjibu, "wa daudi."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

da u kristu isusu na pogane doðe blagoslov abrahamov: da obeæanje, duha, primimo po vjeri.

Swahili

jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule roho ambaye mungu alituahidia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

ali htio bih da znate: svakomu je mužu glava krist, glava ženi muž, a glava kristu bog.

Swahili

lakini napenda pia mjue kwamba kristo ni kichwa cha kila mwanamume, na mwanamume ni kichwa cha mkewe, na mungu ni kichwa cha kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

dan za danom umirem, tako mi slave vaše, braæo, koju imam u kristu isusu, gospodinu našem!

Swahili

ndugu, mimi nakikabili kifo kila siku! fahari niliyo nayo juu yenu katika kuungana na kristo yesu bwana wetu inanifanya nitangaze jambo hili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

jedinomu mudromu, bogu, po isusu kristu: njemu slava u vijeke! amen. h2uvod/h2

Swahili

kwake mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya yesu kristo, milele na milele! amina.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

hvala bogu po isusu kristu gospodinu našem! ja, dakle, umom ja služim zakonu božjemu, a tijelom zakonu grijeha.

Swahili

shukrani kwa mungu afanyaye hayo kwa njia ya bwana wetu yesu kristo! hii basi, ndiyo hali yangu: mimi binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria ya dhambi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

ali otvrdnu im pamet. doista, do dana današnjega zastire taj prijevjes èitanje staroga zavjeta: nije im otkriveno da je u kristu prestao.

Swahili

lakini akili zao zilipumbazwa. mpaka leo hii lisomwapo agano la kale, kifuniko hicho bado kipo. kifuniko hicho kitaondolewa tu mtu anapoungana na kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,914,876,554 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK