Results for mjestima translation from Croatian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Croatian

Swahili

Info

Croatian

mjestima

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

i glas se o njemu širio po svim okolnim mjestima.

Swahili

habari zake zikaenea mahali pote katika mkoa ule.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

"a kad neèisti duh iziðe iz èovjeka, luta bezvodnim mjestima tražeæi spokoja, ali ne nalazi!

Swahili

"pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani akitafuta mahali pa kupumzika asipate.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

pavao htjede da on poðe s njime pa ga uze i obreza zbog Židova koji bijahu u onim mjestima. jer svi su znali da mu je otac grk.

Swahili

paulo alitaka timotheo aandamane naye safarini, kwa hiyo alimtahiri. alifanya hivyo kwa sababu wayahudi wote walioishi sehemu hizo walijua kwamba baba yake timotheo alikuwa mgiriki.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i bit æe velikih potresa i po raznim mjestima gladi i pošasti; bit æe strahota i velikih znakova s neba."

Swahili

kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, kutakuwa na njaa na tauni. kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

ali èim iziðe, stane on uvelike pripovijedati i razglašavati dogaðaj tako da isus više nije mogao javno uæi u grad, nego se zadržavao vani na samotnim mjestima. i dolažahu k njemu odasvud.

Swahili

lakini huyo mtu akaenda, akaanza kueneza habari hiyo kila mahali na kusema mambo mengi hata yesu hakuweza tena kuingia katika mji wowote waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. hata hivyo, watu wakamwendea kutoka kila upande.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

"narod æe ustati protiv naroda, kraljevstvo protiv kraljevstva. bit æe potresa po raznim mjestima, bit æe gladi. to je poèetak trudova."

Swahili

taifa moja litapigana na taifa lingine; utawala mmoja utapigana na utawala mwingine; kila mahali kutakuwa na mitetemeko ya ardhi na njaa. mambo haya ni kama tu maumivu ya kwanza ya kujifungua mtoto.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

"kad neèisti duh iziðe iz èovjeka, luta bezvodnim mjestima tražeæi spokoja. kad ga ne naðe, rekne: 'vratit æu se u kuæu odakle iziðoh.'

Swahili

"pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu fulani, huzururazurura jangwani akitafuta mahali pa kupumzikia. asipopata, hujisemea: nitarudi kwenye makao yangu nilikotoka.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,770,630,774 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK