Results for ozdravio translation from Croatian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

a oèevici im ispripovijediše kako je opsjednuti ozdravio.

Swahili

wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

Èovjek ode i javi Židovima da je isus onaj koji ga je ozdravio.

Swahili

huyo mtu akaenda, akawaambia viongozi wa wayahudi kwamba yesu ndiye aliyemponya.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

jedan od njih vidjevši da je ozdravio, vrati se slaveæi boga u sav glas.

Swahili

mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza mungu kwa sauti kubwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

jer mnoge je ozdravio pa su se svi koji bijahu pogoðeni kakvim zlom bacali na nj da bi ga se dotakli.

Swahili

alikuwa amewaponya watu wengi, na wagonjwa wote wakawa wanamsonga ili wapate kumgusa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

upravo u taj èas isus je ozdravio mnoge od bolesti, muka i zlih duhova i mnoge je slijepe podario vidom.

Swahili

wakati huohuo, yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

ako èovjek može primiti obrezanje u subotu da se ne prekrši mojsijev zakon, zašto se ljutite na mene što sam svega èovjeka ozdravio u subotu?

Swahili

ikiwa basi, mtu hutahiriwa hata siku ya sabato kusudi sheria ya mose isivunjwe, mbona mnanikasirikia kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

nakon toga naðe ga isus u hramu i reèe mu: "eto, ozdravio si! više ne griješi da te što gore ne snaðe!"

Swahili

basi, baadaye yesu alimkuta huyo aliyeponywa hekaluni, akamwambia, "sasa umepona; usitende dhambi tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

anðeo bi gospodnji, naime, silazio od vremena do vremena u ribnjak i pokrenuo vodu: tko bi prvi ušao pošto je voda izbila, ozdravio bi makar bolovao od bilo kakve bolesti.

Swahili

maana mara kwa mara malaika alishuka majini nyakati fulani na kuyatibua. mtu yeyote aliyekuwa wa kwanza kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,949,585,939 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK