Results for pokaza translation from Croatian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Croatian

Swahili

Info

Croatian

pokaza

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

rekavši to, pokaza im ruke i noge.

Swahili

baada ya kusema hayo, akawaonyesha mikono na miguu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

kad usjev uzraste i isklasa, tada se pokaza i kukolj.

Swahili

basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i povede ga ðavao na visoko, pokaza mu odjednom sva kraljevstva zemlje

Swahili

kisha ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. huyo shetani akamwambia,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

Ðavao ga onda povede na goru vrlo visoku i pokaza mu sva kraljevstva svijeta i slavu njihovu

Swahili

kisha ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

koju na djelu pokaza u kristu, kad ga uskrisi od mrtvih i posjede sebi zdesna na nebesima

Swahili

aliyomfufua nayo kristo kutoka wafu, akamketisha kulia kwake mbinguni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

skinu vrhovništva i vlasti, javno to pokaza: u pobjednièkoj ih povorci s njime vodi.

Swahili

juu ya msalaba kristo aliwapokonya nguvu zao hao pepo watawala na wakuu; aliwafanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuwaburuta kama mateka katika msafara wa ushindi wake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

a bog pokaza ljubav svoju prema nama ovako: dok još bijasmo grešnici, krist za nas umrije.

Swahili

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye dhambi, kristo alikufa kwa ajili yetu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i prenese me u duhu na goru veliku, visoku i pokaza mi sveti grad jeruzalem: silazi s neba od boga,

Swahili

basi, roho akanikumba, naye malaika akanipeleka juu ya mlima mrefu sana. akanionyesha mji mtakatifu, ukishuka kutoka kwa mungu mbinguni,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i otvori se hram božji na nebu i pokaza se kovèeg saveza njegova u hramu njegovu te udare munje i glasovi i gromovi i potres i tuèa velika.

Swahili

hekalu la mungu mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana hekaluni mwake. kisha kukatokea umeme, sauti, ngurumo, tetemeko la ardhi, na mvua kubwa ya mawe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

i znamenje veliko pokaza se na nebu: Žena odjevena suncem, mjesec joj pod nogama, a na glavi vijenac od dvanaest zvijezda.

Swahili

kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

ja, ivan, èuo sam i vidio sve ovo. i kad sam to vidio i èuo, padoh pred noge anðelu koji mi to pokaza da mu se poklonim.

Swahili

mimi yohane, niliyaona na kusikia mambo haya. nilipokwisha sikia na kuona nikajitupa chini mbele ya miguu ya huyo malaika aliyenionyesha mambo hayo, nikataka kumwabudu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

te im reèe: "vi znate kako je Židovu zabranjeno družiti se sa strancem ili k njemu ulaziti, ali meni bog pokaza da nikoga ne zovem okaljanim ili neèistim.

Swahili

petro akawaambia, "ninyi wenyewe mnajua kwamba myahudi yeyote amekatazwa na sheria yake ya dini kushirikiana na watu wa mataifa mengine. lakini mungu amenijulisha nisimfikirie mtu yeyote kuwa najisi au mchafu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

i pokaza se drugo znamenje na nebu: gle, zmaj velik, ognjen, sa sedam glava i deset rogova; na glavama mu sedam kruna,

Swahili

ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Croatian

te iziðoše iz grobova nakon njegova uskrsnuæa, uðoše u sveti grad i pokazaše se mnogima.

Swahili

nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,792,357,169 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK