Results for kteřížto translation from Czech to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Czech

Swahili

Info

Czech

kteřížto

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Czech

Swahili

Info

Czech

kteřížto řekli: mojžíš dopustil lístek zapuzení napsati a propustiti.

Swahili

nao wakasema, "mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Czech

kteřížto shromáždivše se s staršími a uradivše se, mnoho peněz dali žoldnéřům,

Swahili

basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

kteřížto zžírají domy vdovské pod zámyslem dlouhých modliteb. tiť vezmou soud těžší.

Swahili

huwanyonya wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu. siku ya hukumu watapata adhabu kali!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Czech

a abyvysvobodil ty, kteřížto bázní smrti po všecken čas života svéhopodrobeni byli v službu.

Swahili

na hivyo awaokoe wale waliokuwa watumwa maisha yao yote kwa sababu ya hofu yao ya kifo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

jakž jsou nám vydali ti, kteřížto od počátku sami viděli, a služebníci toho slova byli,

Swahili

waliandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a když vcházel do jednoho městečka, potkalo se s ním deset mužů malomocných, kteřížto stáli zdaleka.

Swahili

alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

kteřížto mocí boží ostříháni býváme skrze víru k spasení, kteréž hotovo jest, aby zjeveno bylo v času posledním.

Swahili

hizo zitakuwa zenu ninyi ambao kwa imani mnalindwa salama kwa nguvu ya mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa nyakati.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

bratří pak hned v noci vypustili i pavla i sílu do berie. kteřížto přišedše tam, vešli do školy Židovské.

Swahili

usiku, wale ndugu waliwahimiza paulo na sila waende berea. mara tu walipofika huko, walikwenda katika sunagogi la wayahudi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a tak podobně ti, kteříž jako skalnatá země posáti jsou, kteřížto jakž uslyší slovo, hned s radostí přijímají je.

Swahili

watu wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa penye mawe. mara tu wanapolisikia hilo neno hulipokea kwa furaha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a byli někteří z nich muži z cypru a někteří cyrenenští, kteřížto přišedše do antiochie, mluvili Řekům, zvěstujíce jim pána ježíše.

Swahili

lakini baadhi ya waumini waliotoka kupro na kurene, walikwenda antiokia wakautangaza huo ujumbe kwa watu wa mataifa mengine wakiwahubiria ile habari njema juu ya bwana yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

kteřížto svědectví vydali o lásce tvé před církví. kteréžto vyprovodíš-li, tak jakž sluší na boha, dobře učiníš.

Swahili

ndugu hao wamelieleza kanisa hapa habari za upendo wako. tafadhali uwasaidie waendelee na safari yao kwa namna itakayompendeza mungu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

kteřížto jsou izraelští, jejichžto jest přijetí za syny, i sláva, i smlouvy, i zákona dání, i služba boží, i zaslíbení.

Swahili

hao ndio watu wa israeli ambao mungu aliwateua wawe watoto wake, akawashirikisha utukufu wake; aliagana nao, akawapa sheria yake, imani ya kweli na ahadi zake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a jezus, kterýž slove justus, kteřížto jsou Židé. ti toliko jsou pomocníci moji v kázání o království božím; tiť mi byli ku potěšení.

Swahili

naye yoshua aitwaye yusto, anawasalimuni. miongoni mwa wayahudi waliokwisha pokea imani, hawa tu peke yao, ndio wanaofanya kazi pamoja nami kwa ajili ya utawala wa mungu; nao wamekuwa msaada mkubwa kwangu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a když bylo rozpuštěno shromáždění, šlo mnoho Židů a nábožných lidí znovu na víru obrácených za pavlem a barnabášem, kteřížto promlouvajíce k nim, radili jim, aby trvali v milosti boží.

Swahili

mkutano huo ulipomalizika, wayahudi wengi na watu wa mataifa mengine waliokuwa wameongokea dini ya kiyahudi waliwafuata paulo na barnaba. hao mitume waliongea nao, wakawatia moyo waendelee kuishi wakitegemea neema ya mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a ti byli udatnější nežli tessalonitští, kteřížto přijali slovo boží se vší chtivostí, na každý den rozvažujíce písma, tak-li by ty věci byly, jakž kázal pavel.

Swahili

watu wa huko walikuwa wasikivu zaidi kuliko wale wa thesalonika. waliupokea ule ujumbe kwa hamu kubwa, wakawa wanayachunguza maandiko matakatifu kila siku, ili kuona kama yale waliyosema paulo na sila yalikuwa kweli.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a v ten čas herodes rozzlobil se proti tyrským a sidonským. kteřížto jednomyslně přišli k němu, a namluvivše sobě blasta, předního komorníka královského, žádali za pokoj, protože jejich krajiny potravu měly z zemí královských.

Swahili

herode alikasirishwa sana na watu wa tiro na sidoni. lakini wao walimpelekea wajumbe. nao wakafaulu kwanza kumpata blasto awe upande wao. blasto alikuwa msimamizi mkuu wa ikulu ya mfalme. kisha, wakamwendea herode wakamwomba kuwe na amani, kwa maana nchi yao ilitegemea nchi ya mfalme kwa chakula.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Czech

a tak odplatu nepravosti své ponesou, jakožto ti, kteřížto sobě za rozkoš položili, aby se na každý den v libostech svých kochali, nejsouce než poskvrny a mrzkosti, ti, kteříž s vámi hodujíce, v svých lstech se kochají,

Swahili

na watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha. furaha yao ni kufanya, tena mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao za mwili. hao ni fedheha na aibu tupu kwa jumuiya yenu wakati wanapojiunga nanyi katika karamu zenu, bali wakifurahia njia zao za udanganyifu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,779,887,696 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK