Results for dommens translation from Danish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Danish

Swahili

Info

Danish

men jeg siger eder: det skal gå sodomas land tåleligere på dommens dag end dig."

Swahili

lakini nawaambieni, siku ya hukumu itakuwa nafuu zaidi kwa watu wa sodoma, kuliko kwako wewe."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Danish

sandelig, siger jeg eder, det skal gå sodomas og gomorras land tåleligere på dommens dag end den by.

Swahili

kweli nawaambieni, siku ya hukumu mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile iliyoipata miji ya sodoma na gomora.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Danish

- da ved herren at udfri gudfrygtige af fristelse, men at straffe og bevogte uretfærdige til dommens dag,

Swahili

kwa hiyo, basi, bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu watu wanaomcha mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika adhabu hadi siku ile ya hukumu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Danish

deri er kærligheden fuldkommet hos os, at vi have frimodighed på dommens dag, fordi, ligesom han er, således ere også vi i denne verden.

Swahili

upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Danish

og de skulle gå frem, de, som have gjort det gode, til livets opstandelse, men de, som have gjort det onde, til dommens opstandelse.

Swahili

nao watafufuka: wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na wale waliotenda maovu watafufuka na kuhukumiwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Danish

han mødte op til et q&a med journalister efter dommen den 14. marts, hvor han blandt andet redegjorde for videoens betydning for retssagen.

Swahili

alishiriki pia katika kipindi cha maswali na majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

Last Update: 2025-03-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,944,413,081 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK