From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nini maana ya impact
nini maana ya impact
Last Update: 2021-02-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the vigil's impact
matokeo ya ibada hiyo
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
what it means to impact
nini maana ya impact
Last Update: 2016-06-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the impact of citizen media
athari ya vyombo vya habari vya kiraia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
information about the impact of pregnancy
ngonjera kuhusu athari za mimba za utotoni
Last Update: 2023-01-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
impact of the 2019–20 coronavirus pandemic on education
athari ya janga la virusi vya korona ya 2019-20 katika elimu
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
school closures negatively impact student learning outcomes.
kufungwa kwa shule kunaathiri vibaya matokeo ya masomo ya wanafunzi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
environment impact of mining in indonesia · global voices
athari za mazingira kwa uchimbaji madini nchini indonesia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
socio economic impact of african traditional means of communication
athari za kiuchumi za kijamii
Last Update: 2022-11-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nigeria: will technology impact 2011 elections? · global voices
naijeria: je, teknolojia itaathiri uchaguzi wa mwaka 2011?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the impact of the pandemic and its mortality rate are different for men and women.
athari ya maradhi haya na kiwango chake cha vifo ni tofauti kwa wanaume na wanawake.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mauritius and reunion island brace for cyclone dumile impact · global voices
mauritius na visiwa vya reunion kukumbwa na kimbunga dumile
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the global public opinion about the importance and impact of his tour is sharply divided.
maoni ya watu duniani kote kuhusiana na umuhimu na matokeo ya ziara hiyo, yameonyesha kugawanyika mno.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
300-year history of negro enslavement in brazil has made an impact on this country.
miaka 300 ya historia ya utumwa wa mtu mweusi nchini brazili imeacha athari kubwa ndani ya nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i know that there is a religious wave that is starting to have an impact on all areas of our life.
ninajua kwamba kuna wimbi la kidini linaloanza kuathiri kila sehemu ya maisha yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a two four year system is long enough to afford a determined individual as president to impact on the democratic institutions.
mfumo wa mihula miwili ya miaka minne minne ni mrefu wa kutosha kumwezesha mtu mwenye nia kama akiwa rais kuacha msukumo wake katika vyombo vya demokrasi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if school closures occur late relative to an outbreak, they are less effective and may not have any impact at all.
ikiwa kufungwa kwa shule inafanywa kama imechelewa kulingana na mkurupuko, zina ufanisi duni na huenda zisiwe na athari yoyote.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gaurav mishra analyzes the dynamics of grassroots change movements and how they work to make an impact in the mainstream using social media.
gaurav mishra anachambua nguvu ya vuguvugu la mabadiliko linaloanzia kwa watu wa kawaida na namna inavyofanya kazi kuleta mabadiliko chanya katika utendaji wa vyombo vikuu vya habari kwa kutumia vyombo vya habari vya kiraia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bloggers recently discussed the impact of living abroad on the behavior of malagasies and how it alters their relationships with their friends and relatives back home.
hivi karibuni wanablogu walijadili athari ya kuishi ughaibuni kwa mienendo ya wamadagascar na jinsi mabadiliko hayo yanavyoathiri uhusiano na marafiki na ndugu zao walio nyumbani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, this is quite a rough comparison as many other impact factors such as the number and severity of the patients should be included in the evaluation.
hata hivyo, huu ni ulinganisho wa juujuu kwa sababu vigezo vingine vya athari kama vile idadi na hali ya wagonjwa vinapaswa kujumuishwa kwenye tathmini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: