From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
i live in new york city
ninaishi new york
Last Update: 2019-01-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
abdoulaye wade speaking in new york in 2002.
abdoulaye wade akiongea mjini new york mwaka 2002.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bingu wa mutharika at the metropolitan museum in new york.
bingu wa mutharika akiwa makumbusho ya jiji la new york.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
filipino activists in new york city show support for the lumad.
wanaharakati wa kilipino katika jiji la new york wajitokeza kuiunga mkono jamii ya lumad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
francisco delgado studies in boston and went to new york to vote.
francisco delgado anayesoma huko boston alisafiri hadi new york ili apige kura yake .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and he did it, to quote the new york times, "by a mile."
na alifanya hivyo, kwa mujibu wa nukuu katika gazeti la new york times, 'kwa maili.'
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
walking along the streets of new york with so many children is a tremendous gift.
kutembea na idadi kubwa ya watu katika mitaa ya new york ni zawadi kubwa sana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if it was the new york times that plagiarized my blog i would be rich right now.
kama lingekuwa ni gazeti la new york times limetumia kazi yangu bila ruhusa, ningekuwa tajiri sasa hivi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fátima shama, commissioner for the new york office of immigrant affairs, was chosen as one of the queens as well.
fátima shama, ambaye ni kamishna wa ofisi ya mambo ya uhamiaji jiji new york, pia alichaguliwa kuwa miongoni mwa malkia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in ithaca, new york, cornell university students spent at least $4 million a week in tompkins county.
huko ithaca, new york, wanafunzi wa chuo kikuu cha cornell walitumia angalau $4 milioni kwa wiki katika jimbo la tompkins.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"we started with a personal account and a skype," says el-zahawi from new york.
"tulianza na akaunti ya mtu binafsi pamoja na skype", anasema el-zahawi akiwa mjini new york.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
according to the new york times, jiangmen authorities have already signed an agreement with the china national nuclear corporation to house the six billion us dollar project.
kwa mujibu wa gazeti la the new york times, serikali ya jiangmen tayari imeshaweka mkataba na shirika la taifa la nyuklia la china katika kufadhili mradi huu kwa kiasi cha dola bilioni sita za kimarekani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the congolese blogosphere had harsh criticism for congolese president joseph kabila's recent interview in the new york times.
ulimwengu wa wanablogu wa kikongo ulijaa shutuma kali dhidi ya mahojiano ya hivi karibuni ya rais wa kongo, joseph kabila kwenye gazeti la new york times.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
activists gathered outside the ugandan mission to the united nations in new york city in november to protest the bill. photo courtesy of riekhavoc on flickr.
wanaharakati waliokusanyika nje ya ubalozi wa uganda katika umoja wa mataifa mjini new york mwezi novemba ili kuupinga muswada.picha kwa hisani ya riekhavoc riekhavoc kwenye flickr
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
his work has been profiled in the new york times, comedy central, npr’s the world and laughspin magazine, and he has performed on the bbc asian network and for tedx melbourne.
kazi zake zimewahi kuonekana kwenye majarida kama new york times, comedy central, npr’s the world na laughspin magazine, na amefanya maonesho kwenye mtandao wa asia wa bbc na kwa tedx melbourne.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
by 17 march, the epidemic had been confirmed in all 50 states and in the district of columbia.on 23 march, it was reported that new york city had 10,700 cases of the coronavirus, more than the total number of cases in south korea.
kufikia 17 machi, janga hili ilikuwa imethibitishwa katika majimbo yote 50 na katika wilaya ya columbia.mnamo 23 machi, iliripotiwa kuwa jiji la new york ilikuwa na visa 10.700 ya virusi vya korona, zaidi ya nambari ya jumla ya visa korea kusini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as the us government weighs military action in syria, russia's president putin appealed to the american people in the new york times to keep their weapons out of the war-torn country.
wakati serikali ya marekani ifikiri kuishambulia syria kijeshi, rais wa urusi akiwa new york amewasihi watu wa marekani kufutilia mbali mpango wao wa kuipiga nchi hiyo ambayo tayari imeshaharibiwa mno na vita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
inspired by the well known humans of new york photography blog, humans of kibera is a project by kibera news network (knn), a group of young citizen video news journalists from kibera in nairobi, kenya.
kuna tovuti ya picha inayoitwa wanadamu wa new york (humans of new york) ambayo imehamasisha kuweko kwa wanadamu wa kibera ama (humans of kibera). huu ni mradi wa mtandao wa habari wa kibera (knn), kikundi cha waandishi vijana wa habari kutoka kibera, nairobi, kenya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: