Results for a stable translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

a stable

Swahili

zizi la ng'ombe

Last Update: 2017-02-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it is well adapted to these camels that have turned from an intermediate host to a stable and natural reservoir host.

Swahili

vilizoeleka vyema ndani ya ngamia hawa ambao wamegeuka kutoka kwa wabebaji wa kati wa virusi hadi kuwa wabebaji thabiti na asilia wanaohifadhi virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this indicates that when young workers sacrifice some pay for a stable lifestyle in the future, they do not get as much value in the current state of affairs.

Swahili

jambo hili linaashiria kwamba wafanyakazi vijana wanapojitolea sadaka baadhi ya malipo kwa ajili ya kupata mtindo fulani wa maisha usioyumba hapo baadae, kwa kweli hawaishii kupata thamani inayostahili katika hali ya sasa ya maisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many of these youngsters are taken under false pretence and the promise of regular salary and a stable job with a un/eu/au backed military project.

Swahili

wengi wa vijana hawa wanachukuliwa kwa kudanganywa na kuahidiwa mshahara mzuri pamoja na kazi inayoaminika kwenye miradi ya kijeshi ya umoja wa mataifa/umoja wa ulaya/umoja wa afrika..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

these results are spectacular: in less than ten years, more than one million people have been lifted from extreme poverty and the country has seen a stable economic growth rate of 8 percent per year.

Swahili

matokeo haya ni ya ajabu: kwa muda usiofika miaka kumi, zaidi ya watu milioni moja wameinuliwa na kuuaga umasikini uliokidhiri na nchi inaonekana kuwa na uchumi imara na unaokua kwa asilimia 8 kwa mwaka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

at the french national centre for scientific research (cnrs), with a stable employee workforce, public subsidy increased by 293 billion euros between 2006 and 2011.

Swahili

katika shirika la utafiti la taifa nchini ufaransa (cnrs) kwa mfano, pamoja na kuwa na nguvu kazi imara, ruzuku kutoka serikalini iliongezeka kwa euro 293 bilioni kati ya mwaka 2006 na 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,777,083,346 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK