Results for absolved translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

allah has absolved you from your oaths.

Swahili

hakika mwenyezi mungu kakupeni sharia ya kufungua viapo vyenu, na mwenyezi mungu ni mola wenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but if they disobey you, say, ‘i am absolved of what you do.’

Swahili

na ikiwa watakuasi basi sema: mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god has already ordained that you be absolved of such oaths. god is your patron.

Swahili

hakika mwenyezi mungu kakupeni sharia ya kufungua viapo vyenu, na mwenyezi mungu ni mola wenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the latter are absolved from anything they may say; forgiveness and an honourable provision await them.

Swahili

hao wameepushwa na hayo wanayo yasema; wao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these are absolved of what they say [about them]. for them is forgiveness and a noble provision.

Swahili

hao wameepushwa na hayo wanayo yasema; wao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

had the people of the book believed and been godwary, we would surely have absolved them of their misdeeds and admitted them into gardens of bliss.

Swahili

na lau kuwa watu wa kitabu wangeli amini na wakachamngu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika bustani zenye neema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say, ‘should i have fabricated it, then my guilt will be upon me, and i am absolved of your guilty conduct.’

Swahili

sema: ikiwa nimeizua, basi kosa hilo ni juu yangu, na mimi sikhusiki na makosa myatendayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[the hypocrites are] like satan when he tells man to disbelieve, but when he disbelieves, he says, ‘i am absolved of you.

Swahili

ni kama mfano wa shetani anapo mwambia mtu: kufuru. na akikufuru humwambia: mimi si pamoja nawe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if they deny you, say, ‘my deeds belong to me and your deeds belong to you: you are absolved of what i do and i am absolved of what you do.’

Swahili

na wakikukanusha wewe, sema: mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when a community among them said, "why do you advise [or warn] a people whom allah is [about] to destroy or to punish with a severe punishment?" they [the advisors] said, "to be absolved before your lord and perhaps they may fear him."

Swahili

na kikundi kati yao walisema: kwa nini mnawawaidhi watu ambao tangu hapo mwenyezi mungu atawateketeza au atawaadhibu adhabu kali? wakasema: ili uwe ni udhuru kwa mola mlezi wenu, na huenda nao wakamchamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,876,537,012 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK