Results for access to e learning translation from English to Swahili

English

Translate

access to e learning

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

e learning

Swahili

kujifunza kielektroniki

Last Update: 2022-06-12
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

free access to the internet

Swahili

uhuru wa upatikanaji wa huduma ya intaneti

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

gaining access to the same academic benefits

Swahili

kupata ufikiaji wa faida sawa za kielimu

Last Update: 2020-11-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

additional conditions difficult access to water.

Swahili

kuna mambo mengine yanayochangia katika ugumu wa kupata maji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we believe in universal access to the tools of speech.

Swahili

tunaamini katika upati huru wa nyenzo za kujieleza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

14, 2009, access to this blog was no longer free of charge.

Swahili

utambulisho mpya umewapa wasomaji machaguo matatu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

lack of access to technology or good internet connectivity is an obstacle to continued learning, especially for students from disadvantaged families.

Swahili

ukosefu wa uwezo wa kufikia teknoloia au muunganisho mzuri wa intaneti ni kikwazo dhidi ya kuendelea kwa masomo, hasa kwa wanafunzi kutoka familia zisizojiweza.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

access to these buildings must be also flood proofed where possible.”

Swahili

na njia za kufikia majengo hayo lazima zitengenezwe kuhimili mafuriko, ikiwezekana."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

surely we established him in the land and granted him means of access to every thing.

Swahili

sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

access to water is a human right; source: actionaid.org with permission

Swahili

upatikanaji wa maji ni haki ya binadamu. chanzo: actionaid.org kwa ruhusa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

all this shadowy politics needs to cease so that the people can have access to basic amenities.

Swahili

siasa zote hizi za mizengwe zinapaswa kukoma ili kwamba watu waweze kupata huduma muhimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in 2011, tunisia's interim authorities passed decree 41 guaranteeing access to administrative documents.

Swahili

mwaka 2011, serikali ya muda ya tunisia ilipitisha amri 41 zinazomhakikishia yeyote upatikanaji wa nyaraka za kiutawala.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

indeed, those who have access to power tend to experience cuts in supply as often as every three days.

Swahili

kwa hakika, pamoja na kuwa na umeme, watu hao hukumbana na kero ya kukatika kwa umeme takribani kila baada ya siku tatu. .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and verily, he enjoyed a near access to us, and a good final return (paradise).

Swahili

na hakika yeye kwetu sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

except the oppressed among men, women and children, who have neither access to any means nor are guided to any way.

Swahili

isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza wa hila ya kuongoza njia ya kuhama.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on the contrary, displaced people fear starvation since they no longer have access to their farms, forests, and rivers.

Swahili

badala yake, watu waliohamishwa wanaishi kwa hofu ya kukumbwa na njaa kwa kuwa sasa hivi hawana mashamba tena, mapori na mito vyote viko mbali nao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a further sign of advancing access to new technologies is that rwanda is the highest achiever among the african countries participating in the program one laptop per child.

Swahili

dalili za maendeleo ya kiteknolojia ni kwamba rwanda ni nchi yenye mafanikio ya juu zaidi miongoni mwa nchi za afrika zinazoshiriki kwenye mpango uitwao kompyuta moja kwa kila mtoto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

1) opposition parties will continue to fight the hardest through online media, after being granted limited access to print and electronic media

Swahili

1) vyama vya siasa vya upinzani vitaongeza upinzani wao kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni, baada ya kupewa nafasi finyu katika vyombo vya habari vya magazeti na televisheni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

according to some estimates (fr) only 20% of cameroon’s population has a regular access to electricity supplies.

Swahili

kwa mujibu wa makadirio (fr) yasiyorasmi, ni asilimia 20 tu ya idadi ya wa-cameroon wameunganishwa na umeme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

among those with access to the internet there are only 141,580 facebook users, with 74% of them aged between 18-34 years.

Swahili

katika hao wenye kuweza kutumia intaneti, kuna watumiaji wa facebook wapatao 141,580, ambapo kati yao asilimia 74 wana umri wa kati ya miaka 18 na 34.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,886,051,046 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK