From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
island boy
napenda kula kuku
Last Update: 2022-08-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
matembere island
matembere island
Last Update: 2020-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
our school essay on this island
shule yetu insha kiswa hili
Last Update: 2020-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the peak of furnace, réunion island
delta ya okavango delta, botswana
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
borneo is the largest island in asia.
borneo ni kisiwa kikubwa zaidi barani asia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dawn that brings robben island to its knees.
mawio yaliyokileta kisiwa cha robben kwenye magoti yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
agaléga island was hit hard and was in blackout for 24h.
kisiwa cha agaléga cha nchi hiyo kiliathiriwa vibaya na kimbunga hicho na nishati ya umeme ulikatika kwa masaa 24.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the cyclone has now left the island and the red alert is lifted.
kimbunga hiki kimeshatulia na hali ya hatari imeshatangazwa kisiwani humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
matembere island in africa matembere island is located in africa
Last Update: 2020-09-27
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
cylcone bejisa made landfall on january 2 on the french island of reunion.
januari 2, kimbunga bejisa kilisababisha uharibifu mkubwa katika kisiwa cha reunion kilicho chini ya mamlaka ya ufaransa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
interviewer: and your mother, whereabouts on the island was she at the time?
mwandishi: na mama yako alikuwa upande upi wa kisiwa hicho wakati wa tukio?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"trinidad and tobago is a wealthy small island developing nation rich in oil and natural gas.
“trinidad na tobago ni kisiwa tajiri na nchi inayoendelea tajiri kwa mafuta na gesi asilia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
he organized a fundraising calypso festival on the island in 1996, in response to the devastation caused by the volcano.
aliandaa tamasha la calypso la harambee kisiwani humo mnamo mwaka 1996, ili kukabili uharibifu uliasababishwa na volkeno.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
certainly, the elderly do not deserve to be marooned on the island of loneliness and abandonment in their silver years.
kwa hakika, wazee hawastahili kutelekezwa kwenye kisiwa cha upweke na ukiwa katika miaka yao ya uzeeni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
furthermore, several magazines published on the island, such as la jiribilla and cuba contemporánea, have written about this event.
zaidi, majarida kadhaa yanayochapishwa kwenye kisiwa hivyo, kama la jiribilla na cuba contemporánea, zimeandiska kuhusu tukio hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
born on the tiny island of montserrat alphonsus 'arrow' cassell's talent was anything but tiny.
alizaliwa katika kisiwa kidogo cha montserrat, na kipaji cha alphonsus ‘arrow' cassell hakikuwa kidogo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
here are additional photos and videos of the damages taken by local citizens: video of cylone bejisa in reunion island by animax2013 on youtube.
zifutazo ni picha nyingine zilizopigwa na raia waishio nchini humo: video ioneshayo kimbunga bejisa katika kisiwa cha reunion. video imewekwa na animax2013 katika mtandao wa youtube.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a south korean ferry heading to a resort island sank on april 16, 2014 with hundreds of passengers, including 325 high school students, on board.
feri ya korea kusini iliyokuwa inaelekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama mnamo aprili 16, 2014 na mamia ya abiria, ikiwa ni pamoja na wanafunzi 325 wa shule ya sekondari waliokuwemo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
australian authorities evacuated 277 citizens on 3 and 4 february to the christmas island detention centre, which had been repurposed as a quarantine facility, where they remained for 14 days.
mamlaka ya australia ilihamisha raia 277 mnamo 3 na 4 februari hadi kituo cha kizuizi ya christmas island, ambayo ilifanywa kuwa kituo cha karantini, ambako walibaki kwa siku 14.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: