From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
touched by adversity, he is fretful.
inapo mgusa shari hupapatika.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
surely we will ease his way unto adversity.
tutamsahilishia yawe mazito!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for him we shall ease the way of adversity,
tutamsahilishia yawe mazito!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their adversity among themselves is very great.
wao kwa wao vita vyao ni vikali.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but when adversity touches him, he is in despair.
na inapo mgusa shari hukata tamaa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then when adversity touches you, to him you cry for help.
kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia yeye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
when adversity touches the human being, he calls on us.
na dhara inapo mgusa mtu hutuomba.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if god touches you with adversity, none can remove it except he.
na ikiwa mwenyezi mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila yeye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they have no power to relieve your adversity, nor can they change it.”
hawawezi kukuondoleeni madhara, wala kuyaweka pengine.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
'lord' they will reply, 'adversity prevailed over us and we were erring.
mola wetu mlezi! tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
who, in adversity say: 'we belong to allah and to him we shall return'
wale ambao ukiwasibu msiba husema: hakika sisi ni wa mwenyezi mungu, na kwake yeye hakika tutarejea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we sent no prophet unto any township but we did afflict its folk with tribulation and adversity that haply they might grow humble.
na hatukumtuma nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate kunyenyekea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and never did we send any prophet to a dwelling but we seized its people with hardship and adversity so that they may become humble.
na hatukumtuma nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate kunyenyekea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and if, after adversity, we let him taste good fortune he says, "all my ills are gone."
na tukimwonjesha neema baada ya madhara yaliyo mpata husema: taabu zimekwisha niondokea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
but when we have relieved his adversity from him, he goes away, as though he had never called on us for trouble that had afflicted him.
lakini tukimwondoshea shida yake huendelea kama kwamba hakupata kutuomba tumwondoshee shida iliyo mpata.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then, when they entered into his presence, they said, “mighty governor, adversity has befallen us, and our family.
basi walipo ingia kwa yusuf walisema: ewe mheshimiwa! imetupata shida, sisi na watu wetu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
shall i take any deities apart from him whose intercession will not avail me the least were the merciful one to bring any adversity upon me, nor will they be able to rescue me?
niishike miungu mingine badala yake? arrahmani, mwingi wa rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and if we give him a taste of prosperity, after some adversity has afflicted him, he will say, “troubles have gone away from me.”
na tukimwonjesha neema baada ya madhara yaliyo mpata husema: taabu zimekwisha niondokea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and if allah should touch you with adversity, there is no remover of it except him; and if he intends for you good, then there is no repeller of his bounty.
na mwenyezi mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea ila yeye. na akikutakia kheri, basi hapana awezaye kurudisha fadhila yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and job, when he cried unto his lord, (saying): lo! adversity afflicteth me, and thou art most merciful of all who show mercy.
na ayyubu, alipo mwita mola wake mlezi, akasema: mimi yamenipata madhara. na wewe ndiye unaye rehemu kuliko wote wanao rehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: