From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we publicized the event on the web, and many others - like david - just showed up.
tulilitangaza tukio hilo kwenye wavuti, na wengine wengi – kama david – walijitokeza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the blog caracas chronicles francisco toro reacts to the lack of media coverage about the escalating violence and the events on february 19.
kwenye blogu ya caracas chronicles francisco toro anashutumu kutokuwepo kwa vyombo vya habari vya kimatafa kutangaza ghasia na matukio yanayoendelea kukua tangu februari 19.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.
matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a couple of days after the events on the previous video, women marched in cairo protesting against the abuses to women and also called for the fall of military rule as told in bahrain: a bloody national day, a funeral and more suppression.
siku kadhaa baada ya matukio katika video iliyopita, wanawake waliandamana mjini cairo walipinga udhalilishaji wa wanawake na vile vile wakitoa wito wa kuangushwa kwa utawala wa kijeshi kama ilivyosimuliwa katika bahrain: siku ya damu ya kitaifa, maziko na ukandamizaji zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zeinobia shared the top 10 most influential people in egypt according to shokeir's survey: first of all we do not have these kinds of lists in egypt regularly , second you must know that this was held on an egyptian blog , the participants are considered a very small sample from the egyptian society “more than 120 participants on his blog and more than 300 participants in the event on the face book” and some may considered it as unrepresentative sample still most of the answers surprisingly represent the views of most egyptian people as i see it.
kwanza kabisa huwa hatuna aina hii ya ushindanishaji nchini misri mara kwa mara, pili huna budi kutambua kwamba jambo hili liliendeshwa kwenye blogu ya nchini misri, washiriki wanaweza kusemwa kwamba ilikuwa ni sampuli ndogo sana katika jamii ya wa-misri "zaidi ya washiriki 120 kwenye blogu yake na zaidi ya washiriki 300 kwenye tukio katika face book" na kwa hiyo baadhi ya watu huenda watasema kwamba sampuli haikuwa wakilishi vya kutosha, hata hivyo, kwa namna ya kushangaza kabisa, baadhi ya majibu yanawakilisha maoni ya wa-misri walio wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.