Results for aftermath translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

aftermath

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

april 8, revolution aftermath

Swahili

tarehe 8 aprili, baada ya mapinduzi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the dr is feeling the quake’s aftermath in other ways.

Swahili

jamhuri ya dominika inaonja adha ya baada ya tetemeko la ardhi kwa njia nyinginezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in aftermath of earthquake, eyewitness tweets from haiti · global voices

Swahili

baada ya tetemeko la ardhi, jumbe za twita kutoka kwa walioshuhudia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

photos of burnt down police trucks were all over twitter showing the aftermath of the protests.

Swahili

picha za kuteketea kwa magari ya polisi zimetawanyika kwenye mtandao wa twita kuonyesha athari ziliozletwa na waandamanaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

529 defendants were sentenced to death and 15 were acquitted in the rabaa dispersal aftermath in minya trial.

Swahili

washitakiwa 529 wamehukumiwa kifo na wengine 15 wakionekana hawana hatia kufuatia kesi ya minya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what does this tell us about the quest for truth in the aftermath of this devastating attack on kenyan citizens?

Swahili

je, hili linatupa ujumbe gani kuhusu utafutaji wa habari za kweli baada ya shambulio hili la kutisha dhidi ya raia wa kenya?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the aftermath of the january 2010 riots, one blogger started a site, we are jos, to help the victims of the rioting.

Swahili

baada ya machafuko ya tarehe 10 januari, mwanablogu mmoja alianzisha tovuti, sisi ni jos, ili kuwasaidia walioathirika na machafuko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the meeting was called in the aftermath of the mastung bus carnage in balochistan, where militants killed 22 pashtun passengers in an ethnically motivated attack.

Swahili

mkutano huu uliitishwa baada ya tukio la mauaji ya kwenye basi la mastung jijini balochistan, ambapo wanamgambo waliwaua abiria 22 wa pashtun kwenye shambulio linalosemekana kusukumwa na chuki za kikabila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

graphic photographs of mutilated bodies, as well as videos of the aftermath of the attack, are being circulated online, showing the devastation.

Swahili

picha za kutisha za miili ya maiti hao, pamoja na video za baada ya shambulizi hilo, zinasambazwa mtandaoni, kuonyesha kushangazwa sana na mauaji hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it was created in 2011 in the aftermath of the post-electoral crisis. the hashtag was revived again as floods marred abidjan and the rest of the country.

Swahili

ilianzishwa mwaka 2011 wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi na ikazinduliwa kwa mara nyingine tena wakati mafuriko yaliyoikumba abidjan na nchi hiyo yote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

typhoon haiyan, a short film by janssen powers, documents the aftermath of the super storm that in early november killed more than 6,000 people in the philippine province of leyte.

Swahili

kimbunga haiyan, filamu fupi kwa hisani ya janssen powers, inaonyesha hali baada ya dhoruba ambayo mapema mwezi novemba iliua zaidi ya watu 6,000 katika jimbo la philippine la leyte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

barring the tragedy of the situation, it is amusing how the government is conducting the aftermath of the mutiny – making it appear as a resounding victory rather than the beginning of a tragedy awaiting the nation.

Swahili

mbali na msiba huu, yachekesha kuona jinsi serikali inavyokabiliana na matokeo ya uasi – inajifanya kama kwamba ni ushindi mkubwa badala ya mwanzo wa msiba utakaokumba taifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

having taken measures to censor citizens on social media and block hundreds of offensive websites, including the uk’s daily mail website, in the past week one of the major political blogs in thailand on the asian correspondent website, bangkok pundit, announced that it is going on hiatus as a result of "the constrained environment of commenting publicly about thai politics in the immediate aftermath of the coup."

Swahili

baada ya kuwa wamechukua hatua za kuwafuatilia wananchi kwenye mitandao ya kijamii na kufungia mamia ya tovuti zinazodhalilisha wengine, ikiwa ni pamoja na tovuti ya daily mail , wiki iliyopita blogu maarufu za kisiasa nchini thailand kwenye tovuti ya asian correspondent, bangkok pundit, ilitangaza kwamba itasitisha kazi zake ikiwa ni matokeo ya “kubanwa kwa mazinira ya kutoa maoni waziwazi kuhusiana na siasa za thailand tangu mapinduzi yafanyike."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,813,238 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK