From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
whatever they say is not based on knowledge.
hawana ujuzi wowote wa hayo!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
1toilet policy is based on the 1malaysia concept
sera ya msala1 imeiga dhana ya malaysia1
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however these figures are based on only 109 cases
takwimu hizi, hata hivyo, zimekusanywa kutoka katika kesi 109 tu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
family bonds should be based on spontaneous emotions.
ukaribu wa kifamilia unapaswa kuwa ni wa hisia za hiari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this post is based on content originally posted on witness.
makala hii inatokana na maudhui yaliyochapishwa kwanza kupitia kampeni ya kukusanya ushahidi wa picha za video inayoitwa witness.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
my ideas are based on current issues, especially politics.
mawazo yangu hutokana na masuala yanayotokea, hususani siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
enrolment figures based on latest unesco institute of statistics data.
takwimu za usajili kwa mujibu wa data za hivi punde kutoka taasisi ya takwimu ya unesco.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
iran voices is created based on ushahidi's successful project.
sauti za iran ni mradi ulioundwa kwa kutumia mafanikio ya mradi wa ushahidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and criteria for copying are based on what country likes or based on his weakness.
na vigezo vya kuiga vinatokana na kile nchi inachopenda au itokane na udhaifu wake.
Last Update: 2013-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
among the people of moses are some whose guidance and judgment are based on the truth.
na katika kaumu ya musa lipo kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya uadilifu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
data security and anonymity would have to be protected and shown to be protected based on evidence;
lazima usalama wa data na kutojulikana ulindwe na kuonyeshwa kuwa unalindwa kulingana na ushahidi;
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
if you loved science, you’d vote based on candidates who want to increase funding for it.
kwa mfano kama ungekuwa na mapenzi na sekta ya sayansi, kura yako ungempa mgombea wa nafasi ya kisiasa mwenye utashi wa kufadhili sayansi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
based on my perception, this is for the better and a solution that treat both sexes equality regarding marriage.
kutokana na mtazamo wangu, jambo hili ni bora na ni suluhisho ambalo linawatendea sawa watu wa jinsia zote mbili kuhusiana na ndoa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
as of 5 march 2020 labcorp announced nationwide availability of covid-19 testing based on rt-pcr.
kufikia tarehe 5 machi 2020 labcorp ilitangaza kuwepo kwa kipimo cha covid-19 katika taifa inayotumia rt-pcr.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
for mers, based on a demographic study in june 2012, the mortality was 37% of 2,494 confirmed cases.
kwa mers, kulingana na utafiti wa kidemografia mnamo mwezi juni 2012, viwango vya vifo vilikuwa 37% kati ya visa 2,494 vilivyothibitishwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
as the end of 2012 draws near, china digital times has summarized the changes and challenges facing china in 2013 based on different media reports and predictions.
kadri mwaka wa 2012 unavyosogea karibu, jarida la china digital times limetoa muhtasari wa mabadiliko na changamoto zinazoikabili china mwaka 2013 kwa kutumia taarifa na bashiri mbalimbali za vyombo vya habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
however, its effects largely rely on a combination of multiple components in a formula that varies depending on the diagnosis of a disease based on the theories of tcm.
hata hivyo, athari zake zinategemea pakubwa ujumuishaji wa viambajengo vingi kwenye fomula inayotofautiana kwa kutegemea uchunguzi wa ugonjwa kulingana na nadharia za tcm.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
based on 2018 information from the international air transport association, bangkok, hong kong, tokyo, and taipei had the largest volume of travellers from wuhan.
kulingana na taarifa ya 2018 kutoka chama cha usafiri kwa ndege, bangkok, hong kong, tokyo, na taipei ilikuwa na kiwango kubwa ya wasafiri kutoka wuhan.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
#dearnyerere, in your day, popularity was based on good deeds towards your country, but nowadays it is the number of followers on instagram and twitter.
'enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mema'
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
igarashi was again arrested several months later for displaying another artwork based on the shape of her genitalia in a tokyo sex shop—a clear case of police harassment, according to her lawyer.
igarashi alikamatwa tena mara kadhaa kwa kuonesha kazi yake ya sanaa iliyokuwa na sura ya sehemu zake za siri kwenye duka moja la ngono jijini tokyo -kitendo cha kidhalilishaji kilichofanywa na polisi, kwa mujibu wa mawanasheria wake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: Anonymous
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.
Accurate text, documents and voice translation
Get Lara for free