From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
whoever alters the blessing of god after it has come to him—god is severe in retribution.
na anaye zibadili neema za mwenyezi mungu baada ya kumfikia basi hakika mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
anyone who alters it once he has heard it shall be accountable for his crime. surely, god is all hearing and all knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
whoever then alters it after he has heard it, the sin of it then is only upon those who alter it; surely allah is hearing, knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then whoever alters the bequest after he has heard it - the sin is only upon those who have altered it. indeed, allah is hearing and knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ask the descendants of israel how many clear signs we gave them; and whoever alters allah’s favour which came to him, then indeed allah’s punishment is severe.
waulize wana wa israili: tumewapa ishara ngapi zilizo wazi? na anaye zibadili neema za mwenyezi mungu baada ya kumfikia basi hakika mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
a global safety monitoring board of who physicians examine interim results to assist decisions on safety and effectiveness of the trial drugs, and alter the trial design or recommend an effective therapy.
bodi ya kufuatilia usalama duniani ya madaktari wa who hukuchunguza matokeo ya muda ili kusaidia maamuzi ya usalama na ufanisi wa dawa za majaribio, na kubadilisha muundo wa jaribio au kupendekeza dawa inayofaa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: