From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
on december 20, 2010, the council of islamic ideology also announced proposed amendments to the law to prevent its misuse.
mnamo tarehe 20, desemba 2010, baraza la itikadi za kiislamu pia ilitangaza mabadiliko yaliyopendekezwa ili kuifanya sheria hiyo isitumiwe vibaya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while he does not specify the exact amendments with which he objects, he comments in his address why i resigned from the gaza freedom march coalition:
wakati hayaweki wazi mabadiliko ambayo anayapinga, anatoa maoni katika makala kwa nini nilijiuzilu kutoka kwenye muungano wa maandamano ya uhuru gaza:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
some started to cast doubt on sata’s commitment to enacting a new constitution when he said that the country did not need a fresh document altogether but only amendments to certain clauses.
baadhi ya watu walianza kuwa na wasiwasi na utashi wa kisiasa wa rais sata katika kuleta katiba mpya pale alinukuliwa akisema, nchi hii haikuhitaji katiba mpya kabisa bali mabadiliko ya hapa na pale.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in 2010, ambassador sherry rehman filed the 'amendments to the blasphemy laws act 2010′ in the national assembly as a member of the parliament.
mwaka 2010, balozi sherry rehman aliwasilisha mabadiliko ya kifungu cha sheria ya 2010 ya makosa ya kukashifu imani kwenye mkutano mkuu wa bunge akiwa miongoni mwa wabunge wa bunge hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
at least 19 violent incidents have been documented since the beginning of 2014 in burundi ahead of the presidential elections. the unrest centers on amendments to the constitution proposed by president nkurunziza that could allow him to run for a third term.
angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the first amendment
komunyo ya kwanza
Last Update: 2022-06-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: