From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
on tuesday 9 october, 1962, uganda got its independence as the union jack flag of england was lowered, the ugandan flag raised whilst jubilant ugandans sang the uganda national anthem.
mnamo jumanne ya oktoba 9, 1962, uganda ilijitwalia uhuru wake wakati bendera ya uingereza iliposhushwa, na bendera ya uganda kupandishwa wakati huo wa-ganda wenye furaha na matumaini mapya wakiimba wimbo wa taifa la uganda.
i pledge my loyalty to the president and the nation of kenya, my readiness and duty to defend the flag of our republic, my devotion to the words of our national anthem, my life and strength in the task of our nation’s building. in the living spirit embodied in our national motto – harambee! and perpetuated in the nyayo philosophy of peace love
ninaahidi uaminifu wangu kwa rais na taifa la kenya, utayari wangu na wajibu wangu wa kuilinda bendera ya jamhuri yetu, kujitolea kwangu kwa maneno ya wimbo wetu wa taifa, maisha yangu na nguvu katika kazi ya ujenzi wa taifa letu. katika roho hai iliyomo katika kauli mbiu yetu ya kitaifa – harambee! na kuendelezwa katika falsafa ya nyayo ya upendo wa uaminifu