From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
c/apology
c/kuomba msamaha
Last Update: 2023-07-16
Usage Frequency: 1
Quality:
what is the answer to that apology
jibu la samahani ni lipi
Last Update: 2024-01-20
Usage Frequency: 2
Quality:
below is opoku-manu’s apology as quoted by dadzie:
hili hapa chini ni tamko la kuomba radhi kama lilivyonukuliwana dadzie:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it forced its own employee to reveal his identity and to issue a public apology.
kwa hiyo, wizara hiyo ilimwamuru mfanyakazi wake huyo kujitambulisha yeye ni nani na kutoa tamko hadharani la kuomba radhi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in may 2010, malema was forced into making an apology to the nation and attend anger management classes.
mwezi mei 2010, malema alilazimishwa kutoa tamko la kulitaka radhi taifa na kutakiwa kuhudhuria darasa la namna ya kudhiti hasira zake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sampan ruksa, the staff of the ministry who initiated the online thread, wrote an apology letter for his actions.
mfanyakazi huyo aliyeanzisha mtiririko huo wa mtandaoni na aliyejitambulisha kama sampan ruksa aliandika barua ya kuomba msamaha kwa kitendo chake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nana poku wrote in his article at modern ghana, “opoku-manu must go, apology or not”:
nana poku aliandika kwenye makala yake katika modern ghana, ”opoku-manu lazima aondoke, awe kaomba msamaha au la”:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they complained about it and some wrote to the chief editor - some of them post an apology and some of them fired the person who stole the content
walilalamikia hali hii na wengine waliaandikia wahariri wakuu –wengine wao huandika taarifa za kuomba msamaha na wengine wao humfukuza kazi mtu aliyeiba maudhui
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
moses said: "if i ask you any thing again then do not keep me with you. you have my apology."
akasema: nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
aad believes that the apology of the ashanti regional minister is an indication of gross remorse and must be accepted in good faith but we however insist that his averments militates against his status as the regional minister and the chairman of the regional security council.
aad inaamini kwamba kuomba radhi kwa mkuu wa mkoa wa ashanti ni dalili za ukuaji wa dhana ya kuwajibika na lazima ikubaliwe kwa imani njema lakini hata hivyo tunasisitiza kwamba matamshi yake hayo yameidhalilisha hadhi yake kama mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa baraza la usalama la mkoa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
my father was ill for two years now and there were meetings of the elders of our church several times, we have never seen you at those meetings and we have not received any apology from you, now we just ask you never to tread on our plot
babangu alikuwa mgonjwa kwa buda wa miaka miwili sasa na kulikuwa na mikutano ya wazee wa clan yetu mara kadha,hatujawahi kukuona kwa hizo mikutano na hatukupata ata apology kutoka kwako,sasa tunakuomba tu usiwahi kukanyanga plot yetu
Last Update: 2020-11-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after an episode on malpractices by doctors the indian medial association claimed that he defamed the doctors and demanded apology but aamir defended his actions saying he won't apologize. it has also been alleged that aamir khan receives a high remuneration of rs.
baada ya onyesho kuhusu vitendo potofu vya madaktari, jumuiya ya madaktari wa india walilalamika kwamba walichafuliwa jina na kutaka waombwe msamaha lakini aamir alitetea hatua yakeakisisitixa kuwa hataomba msamaha.ilidaiwa kuwa aamir khan upokea malipo ya juu ya rs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, namibians still demand a formal apology from the german government as tendai marima, a post-doctoral researcher in african literature, wrote on the think africa press website :
hata hivyo, wanamibia bado wanadai tamko rasmi ya kuomba radhi kutoka kwa serikali ya ujerumani kama tendai marima, mwanazuoni mtafiti wa fasihi za afrika , aliandika kwenye tovuti ya think africa press:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
apologies for what happened
samahani kwa usumbufu uliosababishwa
Last Update: 2024-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: