From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
so jesus is white even in apparitions.
kwa hiyo yesu ni mzungu kila anapotokea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a few days later, mgr. samuel kleda, the archbishop of douala, dismissed the alleged apparition as a hoax, but this did little to dampen the enthusiasm of the faithful who continued to throng to the home of amougui minkan.
siku chache baadae, mhashamu askofu mkuu wa douala samuel kleda, alitupilia mbali madai ya muujiza huo akiuita maigizo, lakini hata hivyo, kauli hiyo haikuwazuia watu hao kuendelea kumiminika kwenda kwenye nyumba hiyo ya amougui minkan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: