Results for appeareth translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

by the day when it appeareth in glory,

Swahili

na mchana unapo dhihiri!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when herod was dead, behold, an angel of the lord appeareth in a dream to joseph in egypt,

Swahili

baada ya kifo cha herode, malaika wa bwana alimtokea yosefu katika ndoto kule misri,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he knoweth what (appeareth to his creatures as) before or after or behind them. nor shall they compass aught of his knowledge except as he willeth.

Swahili

anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and say thou unto the believing women that they shall lower their sights and guard their private parts and shall not disclose their adornment except that which appeareth thereof; and they shall draw their scarves over their bosoms; and shall not disclose their adornment except unto their husbands or their fathers or their husbands fathers or their sons or their husbands sons or their brothers or their brothers sons or their sisters sons or their women or those whom their right hands own or male followers wanting in sex desire or children not acquainted with the privy parts of women; and they shall not strike their feet so that there be known that which they hide of their adornment.

Swahili

na waambie waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipo kuwa unao dhihirika. na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kaka zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, au wafwasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyo khusu uke.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,434,708 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK